UDART: Huu ni wizi direct.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Kama mtanzania mmoja kwa mwaka anaweza kupoteza Tsh. 33,600/= kwa mwaka kwa kuacha 50 mara mbili kila siku

Watanzani Mill 1 wanapoteza TSH. B. 33,600,000,000/= ni kiasi karibia cha Tsh Billioni 33

Ukosefu wa uaminifu! mbona supermaket, kwenye panton, daladala tunaludishiwa hizo 50!? iweje wao wakose! msemaji wao kasema ni kosa la hao wahudumu coz Udart huchukua chenji bank kuu sh.15mill kila cku, wakazieni watawapa 50zenu!

Usafiri huu ni wa kitumwa.
 
HALAFU PALE KIMARA WANAPOUZA KADI,KUNA TATIZO..UNAPANGA FOLENI WEEEE,UKIFIKA DIRISHANI ETI YULE DADA ANAKUREMBULIA ''KADI ZIMEISHA''........
HIVI WANASHINDWA KUWEKA TANGAZO KWAMBA KADI ZIMEISHA ILI WATU WAOKOE MUDA???????:(
:(
 
Huu wizi unaongoza na dada mmoja pale Morroco terminal,kesho nawaletea picha,Yani anakwambia hana 50,unakaa mda wee alafu baadae anakupa 50 yako.
Pccb na TISS muingilie kati ,Naona waziri na RC mvaa mkwani nyeusi wameshindwa maana wao hawapandi hizi udart
 
huwa inauma sana ase,ila nashkur nami juzi nimefanikiwa kuwapiga kam 1300 hivi kwenda na kurud nilikuwa na watot ko nikawa nalipia 200 nawambia watot t ndo wanapand afu kwnye chuma pale namshka mtot na tket ake napita nae.wamekula 50 zang nying san ase
 
nimeshangaa juzi nilichukia kweli 50 ni nyingi sana cha msingi kukomaa tu wakurudishie
 
huu uzi usitolewe tutakuwa tunawaripoti kila sikui naanza na wa hapa shekilango leo kaniibia
 
Kama mtanzania mmoja kwa mwaka anaweza kupoteza Tsh. 33,600/= kwa mwaka kwa kuacha 50 mara mbili kila siku

Watanzani Mill 1 wanapoteza TSH. B. 33,600,000,000/= ni kiasi karibia cha Tsh Billioni 33

Ukosefu wa uaminifu! mbona supermaket, kwenye panton, daladala tunaludishiwa hizo 50!? iweje wao wakose! msemaji wao kasema ni kosa la hao wahudumu coz Udart huchukua chenji bank kuu sh.15mill kila cku, wakazieni watawapa 50zenu!

Usafiri huu ni wa kitumwa.
Nadhani wahudumu wanakuwa wanaweka tally kila inapoachwa 50, na mwisho wa siku wanazidisha kwa idadi ya abiria walioacha chenji hizo na kukusanya mpunga na kuondoka zao. Nina hakika hawa wakatisha tiketi wamegeuza hii kuwa mradi wao wa pembeni.
 
msemaji wao kasema ni kosa la hao wahudumu coz Udart huchukua chenji bank kuu sh.15mill kila cku, wakazieni watawapa 50zenu!

Waweke namba za simu za wazi kwaajili ya kujibu malalamiko ya wateja, waache kusubiri TV na magazeti
 
Kama mtanzania mmoja kwa mwaka anaweza kupoteza Tsh. 33,600/= kwa mwaka kwa kuacha 50 mara mbili kila siku

Watanzani Mill 1 wanapoteza TSH. B. 33,600,000,000/= ni kiasi karibia cha Tsh Billioni 33

Ukosefu wa uaminifu! mbona supermaket, kwenye panton, daladala tunaludishiwa hizo 50!? iweje wao wakose! msemaji wao kasema ni kosa la hao wahudumu coz Udart huchukua chenji bank kuu sh.15mill kila cku, wakazieni watawapa 50zenu!

Usafiri huu ni wa kitumwa.
Inatakiwa kujiongeza hapa, kama kila siku unaacha 50 na "unaibiwa" basi nawe una matatizo, kila siku na unashindwa kujiongeza??inatakiwa kuja na nauli kamili au hamsini akupe mia.
 
Dawa ni kwenda na hamsini yako mfukoni tafuteni hizo hamsini ili waone kuwa mko siliasi kweli na maisha hapo inamaana kuwa hata wanaoiacha wanaiyona kuwa ni ndogo
Wewe umenena, ndo mi nifanyacho, kama situmii kadi naenda na hela kamili au hamsini yangu.
Tujifunze kuwajibika ma sisi kama hatutaki "luibiwa".
 
Kama mtanzania mmoja kwa mwaka anaweza kupoteza Tsh. 33,600/= kwa mwaka kwa kuacha 50 mara mbili kila siku

Watanzani Mill 1 wanapoteza TSH. B. 33,600,000,000/= ni kiasi karibia cha Tsh Billioni 33

Ukosefu wa uaminifu! mbona supermaket, kwenye panton, daladala tunaludishiwa hizo 50!? iweje wao wakose! msemaji wao kasema ni kosa la hao wahudumu coz Udart huchukua chenji bank kuu sh.15mill kila cku, wakazieni watawapa 50zenu!

Usafiri huu ni wa kitumwa.
ukiona wanakuibia, nunua gari yako, au panda bodaboda.tuone kama hautagarimia mara mia ya hiyo unayopinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom