seedorf samuel
Member
- Apr 23, 2019
- 8
- 12
Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo pale wanaandaa watu wakwenda kuua watu mtaani jamani tutengeneze wahitimu bora mfano mtu anafundishwa na mtu wa diploma na hana uzoefu je kuna udaktari hapo???