vyombo vya mtumba?..vimetumika au??mkuu ni pm nikuoneshe sehemu wanauza vyombo vya mtumba very classic and stylish halafu bei nzuri . hivo vyombo vimeondoa kabisa hamu ya msosi.
Vyote hivi viliingia tumbo moja?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38]vyombo vya mtumba?..vimetumika au??
Hapana mkuu matumbo yalikua mengi ila kutafuna kulikua kwingi kuliko kumeza.Vyote hivi viliingia tumbo moja?
Happy new year mkuuMerry Xmas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nyama ya nguku tu basiHapana mkuu matumbo yalikua mengi ila kutafuna kulikua kwingi kuliko kumeza.
Sijui kama hiyo comment umetoa as among walaji waliokuepo ama. Anyways its mkono wangu and 'beauty lies within the eyes of the beholder'Aliyekaanga hiyo kuku hajui.Nyama imegeuka jiwe siyo nyama tena!Bora hukunikaribisha maana..........
Ila angalia isije kua bloila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nyama ya nguku tu basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] tunakulagaIla angalia isije kua bloila
Alikosekana mbuzi mteule tu. Ndio raha ukiwa na 80% relatives ambao ni vegeterians baas we kwenye tasnia ya nyama unagonga draft tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nyama ya nguku tu basi
[emoji15] yule mwenye mapembe na mguu mmoja?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikosekana mbuzi mteule tu. Ndio raha ukiwa na 80% relatives ambao ni vegeterians baas we kwenye tasnia ya nyama unagonga draft tu...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji121] [emoji121] [emoji121][emoji15] yule mwenye mapembe na mguu mmoja?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu ni pm nikuoneshe sehemu wanauza vyombo vya mtumba very classic and stylish halafu bei nzuri . hivo vyombo vimeondoa kabisa hamu ya msosi.
Ruksa mkuuunaniruhusu kuvi save af baadae nile