Udaktari wa Mifugo Tanzania
Ndebile
JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,720
Points
2,000
Ndebile
JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,720 2,000
natamani kusomea udaktari wa mifugo Veternary Medicine, najua chuo ni kimoja tu hapa kwetu nifahamisheni changamoto nyingine na matumaini kama yapo kuhusu kada hii;
Ndebile
JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,720
Points
2,000
Ndebile
JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,720 2,000
thanx senetor,nafikiria hata Makerere tatizo ni hii bodi ya mikopo sijuhi kama wana-consider hivyo vyuo vya nje!
Shamge
Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
21
Points
0
Shamge
Member
Joined Sep 4, 2011
21 0
kwa dunia tuliokuwa nayo kwa sas hata mimi nakushauri uende ukasome hiyo kozi hapo SUA, But kwa kifupi masomo yake yanahitaji effort kubwa sana kutokana na Anatomy, Phsiology na Parasitology.Kwa upande wa maisha yako ya baaadae ni nzuri zaidi kwani unaweza kujiajiri popote pale ulipo no matter ni bush au town kwani kila sehemu huwa kuna mifugo yote uijuayo wewe, So kama hiyo nafasi umeipata kweli naomba usiichezee ni nzuri sana. KARIBU SANA SUA
Perry
JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,004
Points
2,000
Perry
JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,004 2,000
We dogo pga hyo k2,i hv my brother aliisoma hyo pale sua,leo yeye ndo ananifanya mie niishi mjini..afu ni rahc kupata scolarshp ya kuruka nje 4 further studies bt msuli wake utataman ujifiche uvunguni.
Dark City
JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,278
Points
1,500
Dark City
JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,278 1,500
natamani kusomea udaktari wa mifugo Veternary Medicine, najua chuo ni kimoja tu hapa kwetu nifahamisheni changamoto nyingine na matumaini kama yapo kuhusu kada hii;
Ningekuwa wewe ningefikiria mara mbili mbili...Usijekuwa kama dogo wangu aliyekuwa anatamani kuwa doctor kwa sababu madaktari wanavaa makoti meupe!!!
Vanpopeye
JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
619
Points
225
Vanpopeye
JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
619 225
Hautishwi!ni maramianane udokta wa binaadam!wa wanyama kazi iko,we kakaze msuli maana wenzio hua wanaamua kuacha chuo kwa ugumu wa hlo dude,alaf kibaya zaidi hautokubaliwa kubadili hyo coz!!?braaah....
Dah mkuu tunatishana namna hiyo,maana na mimi nimechaguliwa kozi hiyo hiyo.
tope pondwa
Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
50
Points
0
tope pondwa
Member
Joined Jul 17, 2011
50 0
Una uhakika na unachokinena?vipi kuhusu wale fisi,simba,mbweha,kalungulyeye,nyati pamoja na chui?unadhani ni rahisi,sisi ni wamoja mkuu,tushirikiane.
Ndebile
JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
4,720
Points
2,000
Ndebile
JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
4,720 2,000
asante kwa kunipa moyo but ninahitaji kuongea nawe privately kama upo SUA,naomba unielekeze njia ya kupata contacts zako
Forum statistics
Threads 1,378,654
Members 525,139
Posts 33,719,778
Top