General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 706
Naambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
Mimi sio binti aseehBinti, naona kama unachukulia maisha poa. Tena wewe ndio wale wenye mnajidanganya kufanikiwa kwenye makaratasi.
- Itategemea doctor umeajiriwa wapi, ukiajiriwa doctor halmashauri mshahara ni 1,400,000/- Wakati Legal Officer wa TRA Ni 3,200,000/-, Customs Officer Ni 2.3M, Customs assistant Ni 1.8 MNaambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
Daktari wa halmashauri 1.48M basic salary kwa halmashauri kwa level ya degree nadhani ni mshahara mkubwa labda lawyer sijajua wanalipwa sh ngap ndio anaeweza kua juu,- Itategemea doctor umeajiriwa wapi, ukiajiriwa doctor halmashauri mshahara ni 1,400,000/- Wakati Legal Officer wa TRA Ni 3,200,000/-, Customs Officer Ni 2.3M, Customs assistant Ni 1.8 M
-Mtu mwenye diploma anayefanya Kazi TRA, Ewura,latra anamzidi daktari mbali Sana, mwenye Degree mbali zaidi
Jibu ni Ndio,Na kama atapangwa kwenye health centre ambayo imekaa sehemu yenye population kubwa hela anapata nyingi sababu procedures zinakua nyingi,Atakaekwambia Udaktari haulipi Ni yule tu ambae yuko kwenye taasisi ambazo zinamishahara ya tofauti na halmashauri.Habarini wanajukwaa,
Naomba kujua,udaktari unalipa?
Nimekuwa nikipashwa habari kuwa "mtoto mpeleke udaktari" ni taaluma isiyokuwa na longolongo na hakuna daktari mwenye bachelor mtaani anapambania ajira zaidi ya mwaka mmoja,hivyo imepelekea mwanangu kukulia maisha fulani yenye mtazamo wa kuwa daktari mahili hapo mbeleni,wahusika nipeni uzoefu juu ya hili mzazi ninapoteza muda juu ya hili au kuna ukweli ndani yake?
Hahahhahaha masomo magumu , muda mwingi wa kusoma halafu mshahara kiduchuUdaktari sio biashara
kupv mbona hujasema? 😁Naambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
Ukiweka PAYE, bima ya Afya,deni bodi ya mikopo elimu ya juu, si ajabu daktari anabaki na 700kDaktari wa halmashauri 1.48M basic salary kwa halmashauri kwa level ya degree nadhani ni mshahara mkubwa labda lawyer sijajua wanalipwa sh ngap ndio anaeweza kua juu,
Kwa taasisi ulizotaja wanalipa hivyo kulingana na kwamba zinatengeneza fedha nyingi huku halmashauri zinatengeneza hela ndogo sana.Imagine mwalimu mwenye degree analipwa 716,000/=
Nakushauri kasome bachelor of pharmacy, Ipo utanishukuru,
Kaka yange ambae amesoma MD alinishauri nikabadili kozi ila Maisha niliyonayo.....si habaaa
ila ukitaka title mtaana basi soma udaktari
Mkuu nisaidie hapo
mkuu hapo na mm nisaidie hiyo ipojeNakushauri kasome bachelor of pharmacy, Ipo utanishukuru,
Kaka yange ambae amesoma MD alinishauri nikabadili kozi ila Maisha niliyonayo.....si habaaa
ila ukitaka title mtaana basi soma udaktari
unataka kujua nn hasa?mkuu hapo na mm nisaidie hiyo ipoje
kuhux bachelor of pharmacy yenyewe ndo ipojunataka kujua nn hasa?