Udaktari na uanasiasa kipi kitanitoa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udaktari na uanasiasa kipi kitanitoa ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kupe, Aug 21, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,005
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mimi ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa mwisho . lakini kila nikiangalia mbele sioni mwanga . kwani katika ndoto zangu ni kuwa na maisha mazuri . sasa wana jamvi naomba ushauri je niendelee na huu udaktari au nibadili niingie kwenye siasa . maana naona kama huu udaktari nimeingia choo cha kike au watoto wa mjini wanasema nimeingia chaka
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,390
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Follow your heart
   
 3. M

  MAGUNJA JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 60
  Udaktari mwaka wa mwisho. Siasa uko mwaka wa ngapi ili tukushauri vizuri.
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,006
  Likes Received: 8,457
  Trophy Points: 280
  Soma kwanza kwa bidii umalizie huo mwaka!
  Kwa sababu ulichagua kusomea hio fani na wala haukusurutishwa na mtu basi jibu unalo , bila shaka ulichagua njia iliyo sahihi kwako!

   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,948
  Trophy Points: 280
  Jipendekeze kwa riz1 utatoka tu si umemuona Davis Mosha?
   
Loading...