Udaktari mwingine

Hahahaaa nimeshiba wapi aisee....
Hapa nataka nilale nikiamka labda ntakuwa nimeshasahau hili lidada lichafu lol

Ndo maana nasema umeshiba mbaba, ungekuwa na njaa ya kufa mmasai wala usingesusa kula kabisaah...
 
Kufungua uzi huu nikajikuta nimerudisha chenji.
Kama kuna dr anaruhusu mambo kama haya hafai.
 
aaarrrgghhh...!!!!????/"""///.....puuuh........umesababisha nimetema mate kitandani sasa.....pumbaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…