Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Mbinguni kama Makao ya Mungu:
Mbinguni inaelezewa kama mahali pa utukufu ambapo Mungu yuko kwenye kiti chake cha enzi. Katika Isaya 66:1, Mungu anasema, “Mbinguni ni kiti changu cha enzi, na dunia ni kiti cha miguu yangu.” Hii inaonyesha kwamba mbinguni ni mahali pa kiungu, tofauti na dunia.
 
Umerefer movie za nchi za magharibi. Naomba refer movie za Nigeria.
Kwa hyo unafanya uchunguzi wako kwa kuangalia nchi moja tu, kama nigeria wakiigiza kuna jogoo mwenye kichwa cha mtu na miguu ya paka basi uta hitimisha hicho kiumbe kipo kweli
 
Mbinguni kama Makao ya Mungu:
Mbinguni inaelezewa kama mahali pa utukufu ambapo Mungu yuko kwenye kiti chake cha enzi. Katika Isaya 66:1, Mungu anasema, “Mbinguni ni kiti changu cha enzi, na dunia ni kiti cha miguu yangu.” Hii inaonyesha kwamba mbinguni ni mahali pa kiungu, tofauti na dunia.
Bado pia biblia Ina maswali mengi ambayo hayana majibu pia
Waislamu wa jf walisema hivyo nilipo wapinga walibisha ila sikuizi wamekimbia na hoja zao baada ya kuwafafanulia mafundisho sahihi yasiyo ya makanisani yaliyo potochwa
 
Material being few percentage huo ndo mwili unaoshikika na mambo unayoyaona na kuyashika, ila Spiritual being many percentage ni ile hali isiyoonekana na kushikika lakini ipo na ndiyo inayotengeneza nguvu kama ukiizingatia maana yenyewe ipo positive kwa ukubwa wake na unegative hutoka kwenye material being kwenda kuathiri upositive wake. Mbinguni ni spiritually existence kwa hiyo haiendi physical body (mwili wa nyama) na ukitaka ushahidi wa uwepo inatakiwa uwe na energy ya kuisikiliza roho ukiusikiliza mwili unataka vitu vinavyoonekana na kushikika lakini ukipewa nguvu ya kuisiliza roho mbona unaweza hata kuona zaidi ya haya tuyaonayo. Niendelee?
 
Ww ishi maisha bana sku ya kiama ndo utajua mbinguni ni chini au juu,
Subiri sku yesu akija utaona atatokea chini km mti au atatokea juu

Acha kutopeza mda akuna udadisi wala utafiti utakao kupa jibu sahihi zaidi ya kungoja sku ya kiama
 
hamna mbinguni, wala jehanamu, wala shetani ,wala Mungu, wala uchawi wala nuksi,....ni upuuuzi tu wa BINADAMU baada ya kukosa vya kufanya,...
 
Waislamu wa jf walisema hivyo nilipo wapinga walibisha ila sikuizi wamekimbia na hoja zao baada ya kuwafafanulia mafundisho sahihi yasiyo ya makanisani yaliyo potochwa
Hivi vitabu vina maswali mengi ambayo ukitaka kuhoji utaambiwa unakufuru
 
Hivi vitabu vina maswali mengi ambayo ukitaka kuhoji utaambiwa unakufuru
Maswali mengi yamesababishwa na upotovu wa madhehebu ya dini ...walivyo shindwa kuzielewa dini zao waka toa fafanuzi potovu ndiyo zenye kuleta maswali ....MFANO INJILI YA KWELI IMEPOTOSWA MAKANISANI KWA ASILIMIA 90%
 
Back
Top Bottom