mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,701
- 57,860
ila unaamini wewe ulitokana na manii ya baba yako na yai la mama yako,?Hakuna sehemu panaitwa mbinguni ni kauli tu za kwenye maandiko yaliyo andikwa na binadamu kama wewe ndio yanadai Kuna mbingu
Lete hayo maswali yaliyokosa majibuBado pia biblia Ina maswali mengi ambayo hayana majibu pia
Kinachozikwa ni mwili uharibikaoManeno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Ulitaka nikupe majibu unayoyataka boss!???Umeanza vizuri ila finishing hapo mwishoni umeongeza zero mkuu
Na haiwezekani hata akija aliyetoka mbinguni huwezi kuamini ! Ndo maana unapaswa kuamini hivyo hivyoTatizo ni hakuna aliyewahi kwenda na akarudi akaleta ushahidi kuwa alikuwa mbinguni 😃😃
Adam alikuwa na wake wangapi na watoto wangapiLete hayo maswali yaliyokosa majibu
Exactly 💯Hata akileta ushaidi Bado utakuwa biased kama dini
Thibitisha uwepo wa Mungu wenu basiila unaamini wewe ulitokana na manii ya baba yako na yai la mama yako,?
Naunga mkono hojaDini ni upuuzi tu kwenye suala la kujitambua🤔
Sure bro , binafsi pesa yangu kama mtu binafsi nimevuka , ila nashawishika kuwasaidia wengine kuwapa connection zaidi kuliko cash, ndio maana sieleweki humu🤔Naunga mkono hoja
ili tuendelee jibu kwanzaThibitisha uwepo wa Mungu wenu basi
Je kuna John bila mwili wake?Ukisikia mwili wa John umezikwa tambua aliyezikwa sio John chief ni mwili. John yupo.
the dumbest question i’ve ever seenili tuendelee jibu kwanza
Yaani hapo ndi shida inapo anzia. Kwa akiri za kidunia labda kina viumbe vimetutengeneza na vina tu control kama tunavyo control computer zetu.kabla ya kuuliza kuhusu mbinguni. tujiulize sisi tumetoka wapi
Asante Kwa ufafanuziUfahamu wako hapo ndo ulikofika! Maana nikikuuliza Mungu anaishi wapi utaniambia ni mbinguni, nikikwambia mbinguni umewahi kufika utaniambia hapana! Nikikuuliza shetani yupo utaniambia ndio nikikuuliza anaishi wapi utaniambia ni kuzimu je kuzimu ni wapi???? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa ukomo wa kufikiri na kuwaza, ndo maana mambo ukianza kujiuliza hayana majibu! Kwa hiyo amini kwamba Mungu yupo na kama Mungu yupo amini kwamba mbingu ni halisi na kuzimu ni halisi, kinachobaki ishi kwa imani ndipo utakapompendeza Mungu! Siri zote za wapi mwanadamu anaenda baada ya kifo zimeandikwa kwenye biblia, na kinachozikwa ni mwili tu lakini roho ambayo ndio uhalisi wa mtu huwa haipo toka huyo mtu alipokata pumzi siku ya kwanza! Na kwa nini mwili unaenda mavumbini biblia imeeleza!! Tatizo binadamu ni wabishi sana hamtaki kusoma biblia, hamtaki kuokoka na kumwamini Yesu!
Note: bila kumwamini Yesu amini kwamba utatupwa motoni na baada ya kifo unaenda kuzimu! Kuzimu na mbinguni ni sehemu ambazo zinafikika kupitia kifo tu! Bila kufa hizi sehemu huwezi kufika! Maana zinatambulikana kwa jinsi ya Rohoni!!
Ushauri wa BICHWA KOMWE ni kwamba vikojozi wote walale.Toa huo ushauri