Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana. Simon Group has invested millions of dollars to make UDA what it is today in barely a couple of years. Kaboresha ufanisi, ameleta mabasi brand new , yako kila kona na anaendelea kuleta mengine. Wanasiasa ndio wanaona muafaka kuleta hoja zao za kijinga sasa? Mbona wao hawakulifufua shirika la UDA kwa miaka yote ile. What we ordinary Tanzanians care for is affordable, quality and timely service. Hatujali nani mmiliki. Hizo shares za UDA zilipokuwa jiji/serikalini zilimfaidisha vipi na nini mtanzania wa kawaida? Acheni siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa. The government must not venture in the business of running corporations. Robert Kisena ameonyesha uwezo mkubwa kwa kulifufua shirika lililokufa kifo cha mende. Tumpongeze na kumpa ushirikiano mzalendo huyu. Kwa ushauri wangu hata mashirika mengine kama ATC, TRL, TPA wapewe wazalendo kama Robert ili tuendelee na sio hizi porojo za wanasiasa uchwara.