Ha ha ha haaaa.. Itakua macho yako tu bro, Yaani hii dar iwe Na barafu.. Duh, sidhani.Kweli mambo yamebadirika na ya kale ni dhahabu na hivi zamani kulikuwa na barafu Dar au macho yangu?
Mkuu kweli macho yangu, ila angalia ile picha ya lile bus la juu sijui ndio ikarusi lile, yale manzari yana ukungu.Ha ha ha haaaa.. Itakua macho yako tu bro, Yaani hii dar iwe Na barafu.. Duh, sidhani.
Hiyo Ikarus picha ilipigwa wakati bado hilo bus lipo Hungary. Angalia hiyo miti, haipo Dar.Mkuu kweli macho yangu, ila angalia ile picha ya lile bus la juu sijui ndio ikarusi lile, yale manzari yana ukungu.
Asante mkuu, kama ni hivyo basi ninayaamini macho yangu, maana hilo jengo nilidhani ni posta posta ya zamani au railway station opposite na central police. DaahHiyo Ikarus picha ilipigwa wakati bado hilo bus lipo Hungary. Angalia hiyo miti, haipo Dar.
Kweli mambo yamebadirika na ya kale ni dhahabu na hivi zamani kulikuwa na barafu Dar au macho yangu?
harafu dere mzungu.Saaaaana tu mbona......winter flan amaizing nini......