UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

Uliyefukuwa hili unatafuta roho zetu maana haya ndo yale mahangaiko ya awamu inayoitwa, "tunakumisi". Enzi za kila kitu kuibiwa. Leo hii bado watu wanasema nchi imeharibika! Pambaf!
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ridhiwani si mbadhirifu ila watu wasiomtakia mema wamemjengea chuki bila sababu yoyote. Mtoa hoja hear and say is not an evidence. Unapo toa hoja tafadhali toa ushahidi mahiri ili usionekane una chuki binafsi.
Kutoka Msoga hadi Maswa kwenda kumdhamini Kisena kwani huko Maswa hakuna wanaccm wengine ?
 
Watanzania ni tofauti na binaadamu wengine. Sisi ni watii, wapole, wenye heshima, wanyenyekevu, wastahimilivu, wavumilivu na watulivu tunaokubali kila kitu tunachoambiwa na viongozi wetu.

Hivyo tutaendelea kuinama kwa heshima, nidhamu na unyenyekevu na kukubali kila kitu.

P
 
Paskali sio tu ni upole,tuna ugonjwa wa kuaminini miujiza.
Tunajua kabisa toka mwanzo kuwa Kisena hana sifa za kuongoza au kumiliki kampuni ya umma,bado tukampa ili ATENDE MIUJIZA,MIUJIZA NDIO HII KUFUNGULIWA MASHATAKA YA UFISADI na bia mwenzake yaani serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…