Kiswazi zaidiMbona jina la kampuni ni la kikaudhi hivyo?
Ni bora iwe ni Uchwara media nasii Uchawa media.Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio.
Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote wanaojitafuta kuweza kuandaa na kurusha contents zao na kwenda viral kwenye mitandao ya jamii ikiwemo kuwahoji Superstars wakubwa na wadogo katika platform mbalimbali za kijamii.
Nawasilisha
afadhali angeiita "uswaz media group"Kiswazi zaidi
Naona ni Jina Zuri kwa sasa kutumika linavutia BiasharaWhy mmetumia jina "UCHWARA"?
Muanze na kumuhoji Madam Rita
Tumefanya search Brela hakuna mtu aliyewahi kulitumia hilo jina kwenye BiasharaMadam rita atadai share.maana neno uchwara media kalivumbua yeye.
Asante
Kwasababu itakua uchwara au watu wataiita uchwara,hivyo ameamua kuwarahisishia kazi toka mapema kabisa,Why mmetumia jina "UCHWARA"?