Uchunguzi wa mapacha

Ndio mapacha hawa ila imethibitika hii habari ya kupikwa, hawa mapacha hawajawahi kusoma havard wala hawana vipaji maalum ila kinachotushangaza wengi ni kwa nini wametukuzwa na kupewa sifa za uongo?


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Halafu inakuwje gazeti la Serikali lifanye promo ya hawa watu? halafu katika habari ile eti mwandishi anasema eti wakikataa picha yao isiwekwe gazetini hadi hapo watakapoonana na mh. Rais Kikwete maana kulikuwa na mpango wa kuwaalika Ikulu!! Ha ha ha ha!! Intelligence at work!!! I repeat intelligence at work!!! Si tuseme tu ukweli!!?
 
Yeah itakuwa kwa kupokezana lakini UN wana taratibu zao na huwa strictly sana. Sasa hili la madereva mawili kuwa pamoja always kwenye gari la UN limekaa upande. Ingekuwa gari ya halmashauri may be...
Hawa si special wannasoma Hrvad!
 

Shule yenye namba S0973 inaitwa Einoti secondary school na ipo Arusha

Matokea ya mwaka 2007 yanaonyesha Hassan Abdi alipata div 3 points 23
Hakuna Hussein Abdi, but kuna Hussein A Kibwana ambaye naye alipata div 3 points 24

Source: Google...
 
Hapa kuna ishu tu inafanyika, watu waende sayari ya mars hata picha zao zisiwepo? Chizi tu ndiye anaweza kuamini habari hii.
 
Hii story inaonekana kama ni ya kupika, na wala usishangae kuwa mapishi yake yameanzia magogoni , si unajua mkuu wa kaya anavyopenda kupiga picha na watu maarufu (kama ilivyo kwa hasim thabit na wengine). inawezekana hawa mapacha wemetengenezwa tu ili baadaye wapige picha na mkuu.
 

Kwa mazingira ya pale, si rahisi labda kama pamebadilika sana kwasababu ya wingi wa wanafunzi n.k. Kila mtu kujua umetokea shule gani na ulipata point ngapi ni kitu cha kawaida. Hii kwa kiasi fulani ilikua ni kwasababu wengi wa wanafunzi waliingia pale kwa groups from common schools. Pamoja na hivyo; private candidates wanakuepo wengi sana pale, na baadhi walikua wakishiriki huduma kama malazi na chakula-na wanakua wakifahamika bayana kwa wanafunzi.
 
Hii kitu nani wa kutegua? Inawezekanaje wanendeshe gari moja tena ya UN coz anaeajiriwa ni mmoja na sidhani kama sheria inaruhusu watu wawili kukabidhiwa funguo ya Gari. Lakini kiukweli swala la kusoma harvard nalipinga coz wanachosomea na wanachofanyia utafiti ni tofauti. Kwa nini wasingeingia moja kwa moja kusomea mambo ya utafiti wa anga badala ya kusomea udaktari huku wakifanya tafiti hizo? Tunahitaji kupata data za kutosha katika hili jambo
 

Kutokusikia haimaanishi hayatokei! Au mkuu yakitokea huwa unaarifiwa personally?!

Ulikua mwanafunzi ulipokua huyaoni, aliyekwambia yanatokea ni mwalimu!
Labda kama unataka kubisha tu!
 
Kutokusikia haimaanishi hayatokei! Au mkuu yakitokea huwa unaarifiwa personally?!

Pale nilipikuwa mimi hayajatokea.

Labda nikujulishe tu kuwa hizi shule huwa zina wanafunzi kati ya 600-800. Hilo ni kundi ambalo kila niliposoma nilikuwa nalazimika kuwajua wote personally.
 

Hichi ni kituko hakika, yani hujafaulu halafu unaombewa kujishkiza kwenye shule ya kufaulu tena waliofaulu kwa kiwangu cha juu ! Unatuelewesha kwa ufasaha uongo? umetumwa na nanni wewe! Mnataka kutuficha skendo gani kwa kuleta habari ya kustaajabisha!?
 

vumilia tu shemeji, kwani wengi waliopo humu ni very low.
 
>mkuu umeniwakilisha vyema.
Waliendaje Ilboru shule ya serikali kama hawakuchaguliwa?
>mtoamada ninamashaka nae.

vitu vingine mnavyoshangaa kama sio watanzania vile!mbona watu kibao wanafanya hayo magumashi,acheni kuishi kwa kukariri.
 
Mkuu, sio mambo yote ambayo hujasikia basi haya exist. Yapo mengi tu ambayo hujasikia.
Hajawahi kusikia jamaa mmoja ex form six (div 4) alikuwa director wa institute na acting DVC kwenye chuo cha umma hapa hapa TZ? Nimtaje???
 
Unaweza kuedit au kudelete post wewe mwenyewe.
Ukiangalia chini kulia kwenye post yako kuna sehemu imeandikwa edit post. Click hiyo and follow instructions to delete or edit.
Mkuu mm naona unaweza ku_Delete Post zozote lakini sio ile iliyo kuu yaani ya kwanza inayobebaba za wachangiaji wengine mpaka Moderator
Hawa watoto jamani ni waongo na muwachunge sana, tangu story zao zitoke hata mm siamini
Nimekutana na mwanachuo wa UDOM aliyetokea Ilboru bado kuna utata wa wanachuo hawa ingawa na yeye alisikia wanafanya Operesheni 8 kwa siku lakini ni utata
Hii thread ipo ingine inaowapinga hawa mapacha https://www.jamiiforums.com/habari-...-maalumu-wa-ngorongoro-wanaosoma-harvard.html
[POST=Mchapakazi;5864301]

  • Mpaka sasa hivi hamna man mission ya kwenye Sayari ya Mars hawa wanasema wameenda Mars.
  • Wanasema wamefanya uvumbuzi mwingi na wenye manufaa makubwa nimefanikiwa kupata majina yao kamili hakuna publication wala citation yoyote kuhusu hawa vijana. Huwezi kusoma chuo kikubwa kama Harvard na una ma-achievement makubwa jina lako lisiwe online, sio saa hizi. Ukiwa-google unapata habari hii ya mwananchi peke yake hamna habari nyingine.
  • Watu waliopo Karatu na Ngorongoro wanasema jamaa wana-live large wanatembea na magari ya UN na Conservation area, wanaenda Dar kwa private jets wanaingia na kutoka ikulu kama nyumbani.....Nashindwa ku-tie hizi loose ends na naomba msaada kwa wadau tuweze kusolve hii puzzle nanusu harafu ya panya buku waliokufa hapa.....
My take kama meweza kuwadanganya hata Ikulu kuwa wao wamefika kwenye Mars ni uzushi wa kitoto na ndoto kwa yeyeote atakayeamini, kwani Raia wa kawaida ndio wamezunguka Dunia (Orbit) kama utalii na ninavyoelewa ni wafanyabiashara na mwanamke mmoja ambao hawahusiani na NASA
 
Hapa kuna ishu tu inafanyika, watu waende sayari ya mars hata picha zao zisiwepo? Chizi tu ndiye anaweza kuamini habari hii.

Tehetehe, nafurahishwa sana na hii nchi iitwayo Tanzania, yaani matukio yake pekee ni "maajabu ya Dunia" Hivi juhudi zote hizo ni kuvuruga ishu ya Kibanda au kuna nini huko hot kwa sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…