Uchunguzi wa mapacha

Hii sasa filamu nyingine tena, baada ya ile ya babu wa loliondo.
Kulikoni nyuma ya mapacha hawa?
 
Hawakuchaguliwa kwenda form five halafu wakaenda kusoma Ilboru PCM na PCB?

Hapo mbona sijakupata kanali?
msome vzr utamuelewa mtoa mada ni kwamba hawakuchaguliwa kwenda A-level ilani kama waliombewa wasome apo ilboru just kama private candidates kisha wakaenda kufanya mtihani kwenye kituo walichojiandikisha. kwa shule za serikali hii inawezekana sana kwamba mzazi akamwombea mwanae asoe shule fulan ada ana michango ya shule mwanafunzi atalipiwa kisha siku ya mtihani anakwenda kufanya kwenye kituo chake.

sulen hawi registered kama mwanafunzi na hata kwenye class attendance hayupo. ni kinyume na taratibu za serikali but ni njia a kusaidia kutokana na ugumu wa maisha yetu
 

Kwa Ilboru ninayoifahamu mimi jambo hilo HALIWEZEKANI. Na kama siku hizi linawezekana basi mambo yamebadilika KUPINDUKIA.

I cant imagine pale Ilboru mko na wanafunzi darasani ambao hawajachaguliwa kusoma hapo lakini kila siku wanaingia darasani for 2 years!!!
 
Mirongoine ipo nje ya jiji la Arusha, Mbele kidogo ya JKT Oljoro, njia ya kwenda Kiteto.
 

ni kawaida sana and so far huyu mwanafunzi analipa ada yake kama kawaida ishu ni kwamba yeye hawez ku claim kwa haki za mwanafnzi pale. kwani wewe ulikuwa na uhakika miaka unasoma wote walikuwa wamechaguliwa hapo?? ama akuna wengine ambao hata kwenye attandence walionekana lkn ukweli sio wanafunzi wa hapo?? mkuu wa shule anaweza kulifaya hiv na hata mwanafunzi asigundue.
 

The guy seems to be very primitive! Hajui kwamba mambo yanabadilika na maisha yanachange!
 

Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.

Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.

Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.

Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!
 
nafikiri waliomba kusoma kwa muda huku wakiwa wamejisajili kwingine kama private candidates

Duh, hii nayo ni mpya.

Yaani mwanafunzi anafeli lakini anaenda kusoma kwenye shule ya serikali ila mtihani ndio anaenda kufanya kwingine!!!

Wabongo sasa magumashi tumezidisha!!!
 
Mkuu, sio mambo yote ambayo hujasikia basi haya exist. Yapo mengi tu ambayo hujasikia.
 
Mkuu, sio mambo yote ambayo hujasikia basi haya exist. Yapo mengi tu ambayo hujasikia.

Jifunze kuelewa post mkuu.

Hapo mimi sijasema kuwa haiexist. Nimesema hali ilivyokuwa zamani na nimeuliza siku hizi mambo yakoje.

Au kuna kitu nimesema hakiexist? Hujaona kuwa nimeuliza swali???
 

hapo bold ninamaswali kibao kwako but nikuache kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…