amongidion
Member
- Jun 9, 2021
- 76
- 111
Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya.
Je Mtu anawez fany tukio la kigaid na asiitwe gaidi?
Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya.
kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!!kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi