Meizon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 105
Kwa kutaja sifa au dosari; tuchunguze ipi bora kati ya jf au fb!
1. Ukiandika thread ya kipuuzi jf utapondwa na hutarudia tena,ukiandika upuuzi huo huo fb utapata likes 100+
2. Andika muandiko wa mtaani "x" badala ya "s" jf hawasomi! andika hivyo fb unapata likes 10
3. mama yako akiOna unatumia jf ataulizaa unasoma nini? lakini akute uko fb atasema unachat na nani? unacheaza badala ya kusoma?
4. JF kuna forum,Fb kuna page! na ukitaka watu wa like page yako ipe jina kama "CRISTIANO RONALDO FAN PAGE" au "WEMA SEPETU MSANII"
5. ukitaka kupost thread jf unaisoma mara mbilimbili,ukitaka kupost status Fb unaandika fasta.
6. Jf ukienda afrika kusini ni NEW! Fb ukienda afrka kusini watakwambia nitumie friend request tu.
7. members wa fb - members wa jf = idadi ya watu weupe duniani.
8. ukitaka kutatua tatizo lako ingia jf,ukitaka kujua wenye tatizo kama lako ingia jf,ukitaka kuelewa tatizo lako ingia jf,ukitaka MATATIZO ingia fb.
9. ukitaka kujua mambo mbalimbali katika jamii yako ingia jf,ukitaka mchumba ingia fb
10. jf kuna Gold member, Fb kuna Famous member,mwenye rafiki wengi.
JAPO ZOTE NAZITUMIA.
Kama una vingine endeleza,mimi nimekomea hapo wadau........