Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 744
Ukweli utajulikana na kila kitu kila kitu kitakuwa wazi
aminia mkuu wewe ni zaidi ya jasusi. Ni noma piga kazi tunakuombea usiku na mchana kwa Mungu usidhuriwe na hao Mafisadi
Ukweli utajulikana na kila kitu kila kitu kitakuwa wazi
Asante tena. Nasi hatulali tunawaombea usk na mchana muwe salama. Asanteni kwa kuwa Musa na Haruni wa Tanzania badala ya Wana wa Israel. Asante Mungu ametukumbuka.Nashukuru tupo wote ndugu usiku na mchana tuna ipigania nchi yetu!
tunakuombea mungu akupe ulinzi jason ucjepewa taulo la kufutia mikono na ngozi ikaanza kukubana
tunakuombea mungu akupe ulinzi jason ucjepewa taulo la kufutia mikono na ngozi ikaanza kukubana
Hama kweli JK dhaifu,Mkuu endelea na uchunguzi wako mpaka upate suluhisho la Matatizo hapa Tz.
Na Mungu awe nawe.
Kuna mkanganyiko mkubwa hapo mkuu, kwenye nyaraka za majadiliano wanatajwa kuwa ni wa Vietnam, watu halisi waliopo sasa ni wa Malaysia, sasa sijui nani wahusika walio kwenye nyaraka au waliopo sasa?
Hii inachanganya sasa. Hivi kuna uhusiano wowote kati ya huyo bwana Heinken na mama masasi?
We! Acha kuzuga, IPTL ilitoka Malaysia na ni deal la mzee ruksa. Hizo porojo msimuliane
huko kwenye kahawa na kashata
Mkuu unatisha,coherent facts. Keep on informing us but be careful these guys are dangerous!!!