Uchumi wa Nchi wayumba Mauzo ya Hisa katika soko la hisa la Dar yashuka

Ni vyema tukaelewa kuwa kuna vigezo maalumu vya kupima ukuaji au kushuka kwa uchumi wa nchi yoyote Duniani. Kwa upande wa Masoko ya fedha kwamaana ya Capital Markets ambapo kuna Equity Market na Debt Markets kushuka au kupanda kwa thamani ya traded instruments kama hisa au shares na instruments nyingine ni jambo ambalo ni la kawaida na lina reflect informations ambazo wawekezaji au investors wanavyoona future ya investment zao na sio kigezo pekee cha kuonyesha kushuka au kukua kwa uchumi. Na zaidi sana mtoa maada alipaswa kuangalia au kufanya analysis ya muda wa kutosha na sio kipindi kifupi kama hicho kwa vile kuna short term factors na long term factors zinazoweza kuaffect the perceptions za investors kutokana na informations walizonazo na hivyo kuaffect au kuathiri share prices katika vipindi tofauti katika mwaka na pia mwaka hadi mwaka. Nashauri tuwe makini katika kufikia conclusion kama hatuna taarifa za kitaalamu za kutosha katika kufikia conclusion hizo. Na pia maswala ya kitaalaamu yachambuliwe kitaalamu bila kuingiza mambo ya siasa ambazo hayasaidii kuelewa issues za msingi.
 
Mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE), yameshuka kutoka Sh bilioni nne wiki iliyopita hadi Sh bilioni 3.7 wiki hii kutokana na kushuka kwa bei ya hisa za baadhi ya kampuni zilizoorodheshwa sokoni hapo.
Report ya hisa na mwenendo wa mauzo katika soko la dares-salaam.. hutolewa kila wiki..kwa wale msiofatilia mwenendo kila siku ndio mnaweza shangaa hasa nyie mnaopenda kudandia mambo msiyo yafahamu hasa mnaposikia kitu kimeshuka....
Hebu nenda kafatilie report ya wiki iliyopitya ilikuwaje.
Endelea kuwadanganya wasio jua na kufatilia kushuka kwa mauzo ya hisa fulani hasa soko hisa si kipimo cha kuyumba kwa uchumi
Mbona hujawambia kuwa kampuni za ACCACIA na TBL mauzo yao yamepanda zaidi?
 
Back
Top Bottom