Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

Pascal Arusha majengo yenye hadhi ya PPF Tower au lile jirani yake, Jengo jipya la Ngorongoro conservation Authority, leasing wanaCharge dola 9 tu per square meter na bado hakuna wateja .Nakumbuka Kipindi cha JK jengo km hilo ilikuwa sio chini ya dola 25 Per square Meter .Malaika anaua uchumi bila kujua!
 
Let's hope for the best next time

Kaka Mkubwa hii kauli ya Next time ndio imetufikisha hapa tulipo, Watumishi siku hizi wamekuwa mdebwedo, watu wa kulalamika mitandaoni tu tofauti na zamani walikuwa wana take action (Migomo).

sijui wanakwama wapi siku hizi..
 
Pascal Arusha majengo yenye hadhi ya PPF Tower au lile jirani yake, Jengo jipya la Ngorongoro conservation Authority, leasing wanaCharge dola 9 tu per square meter na bado hakuna wateja .Nakumbuka Kipindi cha JK jengo km hilo ilikuwa sio chini ya dola 25 Per square Meter .Malaika anaua uchumi bila kujua!
haha...ndio unakua sasa uchumi...yeye alikuta space inauzwa dola 25 ameifikisha mpaka dala 9......ili "wanyonge" nao wapate nafasi kwenye hayo majengo....hahahah
 
Wanyonge ndio kina nani mkuu? Mtu mnyonge hawezi jenga nchi hata iweje mpaka awe huru. Na uhuru wa kweli unatokana na kuwa na pesa!
 
Yule Mzee itakuwa sababu ya stress,watu hawana hela za kubuy magazeti, pia wengi atununui sababu yamebakia kupraise and worship ili yasurvive.Habari clear na safi isiyochujwa tunapata kwenye mitandao tu.
 
Paschal umechambua vizuri sana hii article yako hapo juu. Nimesoma between the lines nilipomaliza nikasikia simanzi moyoni. Kuna siku sisi Watanzania tutakuja kuyaona wazi haya mambo. Inawezekana tukawa tumechelewa wakati huo, lakini kudos kwa wale ambao mnaweza kuyasema sasa kwa uwazi bila kuongopa. Wengi wetu sasa hivi tumekuwa "coward". Hatupendi kujadili hata mambo ya ukweli ambayo tunayaona kila siku.
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki, kabla ya Magufuli, ukiingia benki kubwa zote, NMB, CRDB na NBC, unakutana foleni ndefu za wateja. Sasa kuna branches unaingia unakwenda straight to counter, anangoja wateja, IMF: Nearly half of Tanzania's banks vulnerable to financial shocks - JamiiForums

na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Hapa ninapo zungumza, najua kituo cha Television cha Channel Ten kinapumulia mashine. Kusipofanyika juhudi za ziada kukinusuru, Channel Ten itafuata mkondo wa Radio Uhuru na magazeti ya Chama ya Uhuru Mzalendo.

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
Katika tu Mkuu ili ice fukara kwa manufaa ya wajukuu zako. Huo ndio uzalendo halisi.
 
haha...ndio unakua sasa uchumi...yeye alikuta space inauzwa dola 25 ameifikisha mpaka dala 9......ili "wanyonge" nao wapate nafasi kwenye hayo majengo....hahahah
Hivi mkisema wanyonge mna wareffer watu gani? Yaani mnatupa majina mabaya ili mtuendeshe kama magar mabovu? Fanaaaleck mimi sio mnyonge
 
Mzee Baba pole bana kumbe povu lote hili ni kwa sababu sikuhizi Hupati tena Tender zile za Serikali!!😂😂 Vigezo, Sifa na Masharti kuzingatiwa!,Maisha ya Fiesta ya kipindi cha JK siyo kwa JPM!, Mtalimia MENO! 🤣🤣🤣🤣
 
Wandugu nimekuta mjadala mzito sehemu wakijadiliana kuhusu hali ya uchumi wetu. Kilicho nishangaza na kutaka kuamini kuwa uchumi una hali mbaya.

Ni mchangiaji aliposema kuwa, "kielelezo moja wapo ni miundo mbinu ya barabara zetu za rami nchi nzima, kuwa na mashimo kila kona na vilaka kila kona".

Kielelezo hicho kimelinganishwa na ndani ya kaya zetu na familia kuwa ukiona nguo zina chakaa na kuchani huku hatua ya kununua zingine mpya inashindikana au ukijitahidi unaishia kubandika vilaka kwenye nguo zako, jamaa anasema nikiashiria kuwa uchumi wako ndani ya kaya au familia una hali mbaya.

Mjadala huo umenifikilisha sana nikatupia macho kwenye barabara zetu ndani ya jiji letu la Dar ninalotumia mara kwa mara nimeona kweli hali sio nzuri!.

Lakini pia nikaja kwangu Kama familia uwezo wangu wa purchasing power yangu inashuka kwa kasi!.

Je ni kweli kwa baadhi ya hivyo viashiria, uchumi wetu unakila dalili mbaya na Mhe Magufuli ashauriwe abadilishe gia angani tusije tukatia aibu kama Zimbambwe?.
 
Mkuu dalili kuu ya kuanguka kwa uchumi ni watumishi wa umma kupata mishahara kwa mbinde, katika awamu zote awamu hii watumishi wa umma wanapata mishahara yao kwa wakati. unasemaje uchumi uko hoi huku miundombinu inajengwa hospital zinajengwa ambulance zinazunguka na wajawazito kila kona. Vijana wanapata mikopo kwa wakati.

Ukweli awamu hii kumekuwapo na uwanja sawa wakibiashara, kila mtu anashindana kivyake mambo yakusema kuna jamaa yangu bandarini atafanya namna haipo tena, sasa walio zoea kuhujumu wenzao ndio hao wanaobwata.
 
Wandugu nimekuta mjadala mzito sehemu wakijadiliana kuhusu hali ya uchumi wetu. Kilicho nishangaza na kutaka kuamini kuwa uchumi una hali mbaya.

Ni mchangiaji aliposema kuwa, "kielelezo moja wapo ni miundo mbinu ya barabara zetu za rami nchi nzima, kuwa na mashimo kila kona na vilaka kila kona".

Kielelezo hicho kimelinganishwa na ndani ya kaya zetu na familia kuwa ukiona nguo zina chakaa na kuchani huku hatua ya kununua zingine mpya inashindikana au ukijitahidi unaishia kubandika vilaka kwenye nguo zako, jamaa anasema nikiashiria kuwa uchumi wako ndani ya kaya au familia una hali mbaya.

Mjadala huo umenifikilisha sana nikatupia macho kwenye barabara zetu ndani ya jiji letu la Dar ninalotumia mara kwa mara nimeona kweli hali sio nzuri!.

Lakini pia nikaja kwangu Kama familia uwezo wangu wa purchasing power yangu inashuka kwa kasi!.

Je ni kweli kwa baadhi ya hivyo viashiria, uchumi wetu unakila dalili mbaya na Mhe Magufuli ashauriwe abadilishe gia angani tusije tukatia aibu kama Zimbambwe?.

None of the above has ever been an indicator in economic downfall
 
None of the above has ever been an indicator in economic downfall, merely cheap minded
 
Back
Top Bottom