Benki ya Dunia Yaikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 2.75($1.1B) za Kukuza Uchumi na Mradi wa DMDP 2

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,821
Tanzania imefanikiwa kupata Mkopo wa Shilingi Trilioni 2.75 kutoka WB Kwa Ajili ya mradi wa DMDP 2 Jijini Dar na Kukuza Uchumi kupitia sekta binafsi Kwa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha Ustawi wa sekta binafsi.

View: https://www.instagram.com/p/C1HEfLooZFJ/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Serikali ya Rais Samia inaaminika Kimataifa Kwa kuwa tuna uchumi imara.

Pesa tayari tunataka kuona wakandarasi Wakiwa site.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1737799177730498808?t=iMmA5GvHFiga8ScQgOs9iw&s=19
 
Serikali ya Rais samia ni serikali iliyo na baraka na kibali mbele za Mwenyezi Mungu. ndio maana kila siku milango ya baraka na neema Inaendelea kufunguka kwa ajili ya watanzania.ndio maana tunaendelea kubarikiwa kila mahali ambapo serikali yetu itaweka mikono yake.ndio maana Taifa limetamalaki kwa utulivu na amani ya kutosha.ndio maana nyuso za watanzania ni zenye tabasamu ,furaha na matumaini.ndio maana viwango vya furaha kwa watanzania mitaani vimeongezeka sana.ndio maana watanzania wanaendelea kuiunga mkono serikali ya Rais Samia kwa nguvu zote.
 
Mpaka sasa robo ya hiyo pesa imeshaingia kwenye mifuko ya watu. Hapo moja tr 1 inaingia kwa kina Mwigulu na jamaa zao, Tr 1 itagawanywa gawanywa. Ila hutoona value for money maisha.
 
Mpaka sasa robo ya hiyo pesa imeshaingia kwenye mifuko ya watu. Hapo moja tr 1 inaingia kwa kina Mwigulu na jamaa zao, Tr 1 itagawanywa gawanywa. Ila hutoona value for money maisha.
Hakuna hata senti moja ambayo itapotea kizembe au kuingia katika mifuko ya watu binafsi. Kila senti itafanya kazi kama ilivyojengwa.
 
Wasi divert kabisa hizo pesa....tunataka effects kwenye miradiii
Wala usijali maana serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais samia imedhamilia kujenga miradi itakayoleta matokeo chanya kwa watanzania .miradi itatekelezwa vizuri na kutoa ajira kwa vijana wengi katika mchakato mzima wa utekelezaji wake
 
Tanzania imefanikiwa kupata Mkopo wa Shilingi Trilioni 2.75 kutoka WB Kwa Ajili ya mradi wa DMDP 2 Jijini Dar na Kukuza Uchumi kupitia sekta binafsi Kwa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha Ustawi wa sekta binafsi.

View: https://www.instagram.com/p/C1HEfLooZFJ/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Serikali ya Rais Samia inaaminika Kimataifa Kwa kuwa tuna uchumi imara.

Pesa tayari tunataka kuona wakandarasi Wakiwa site.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1737799177730498808?t=iMmA5GvHFiga8ScQgOs9iw&s=19

Tunazijua Barabara zinazolengwa hapa, na miladi mingine pia. Ikifika December mwaka kesho tutarudi hapa kuhoji walikopeleka pesa zetu.
 
Wasi divert kabisa hizo pesa....tunataka effects kwenye miradiii

WanaIzaya wanaweza peleka hizi kwenye uchaguzi!! Kwa sababu wenyewe kwao uchaguzi na ccm ni vya maana sana kuliko maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom