The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Muulize yeye,pesa sio tatizo kwa sababu hizi hapa 👇Pesa siyo tatizo kivipi?
Kwa nini Ndugai alisema nchi itauzwa

Mama Corona imemuathiri nadhani. Kalewa bwiiii madaraka ya Uraisi. Hafahamu afanyalo msameheni. Cha mwisho kabisa tusubirini 2025 atajifunza somo na hao wanaomdanganya. Wamesahau mwokozi wa CCM ni yule yule JPMNi PUNGUANI tu anayeweza kumdhihaki JPM.
JPM aliacha Mfuko wa mbolea ukiuzwa kwa sh. 45,000/- au 50,000/- lakini sasa mfuko ule ule unauzwa kwa sh.120,000/- hadi 150,000/-
Lakini si mbolea tu, bali hata vitu vingine vimepanda bei kwa zaidi ya 95%.
Ikumbukwe kwamba, kupanda kwa bei za vitu hakuwaathiri hata kidogo wenye mamlaka na waitifaki wao.
Hao wote wanatumia Bajeti za serikali, ndiyo maana hali hii kwao si chochote wala si lolote.
JPM alikuwa ni mzalendo wa kweli na aliumia sana kuona Watanzania wanaumizwa kwa mambo ya kijinga kijinga kama haya, ndiyo maana alijitoa sadaka kwa ajili yetu.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.
Uchumi wa kati wa chini....Uchumi wa KATI teh teh teh teh UJINGA NI KIPAJI....
Vipi mzee hayo yote hayafanyiki au unajilisha upepo tuu?Tulifika kwa kuwa na uongozi hodari na imara wa mwamba JPM, ambao:
• Ulipinga rushwa
• Ulipambana na mafisadi
• Ulishughulikia wauza madawa ya kulevya
• Ulipambana na majangili
• Uliwa-empower Watanzania wanyonge kama machinga, bodaboda, mama ntilie, n.k.
• Uliimarisha, kurekebisha na kuboresha miundombinu ya maji, afya, elimu na usafiri
• Uliimarisha taasisi na kubuni na kufufua mashirika ya umma kama Air Tanzania
• Ulianzisha na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati
• Ulifanya independent decisions bila kukopi kila kitu kutoka kwa mabeberu
• Ulidumisha uzalendo, uwajibikaji na uchapakazi.
Kwanini tusingefikia lengo kabla ya wakati?
Kazi ipi hiyo Mzee aliyochapa? Mnapambanisha mwaka 1 wa Mama na miaka 6 ya Mwendazake..Hao waliompinga na wanaoendelea kumchukia sasa hivi ni kwa kuwa walikuwa wapigaji, na wapigaji hawakuwa na nafasi wakati wa uongozi wa JPM. Ila hata wao wanajua kabisa jinsi mwamba alivyokuwa anachapa kazi.
Hata kuelewa ni shida!!!...unadhani kila mtanzania ana chama!!!Waambie Lema na Lisu maisha ya kuuza mwili kwa wazungu siyo kabisa, warudi home.
Naona unajifanya una akili kuliko team ya world bank
Uchumi wa kati upi! Shenzi type!Mwambie gaidi nae apike data chadema ifike uchumi wa kati
R I P JPMHao waliompinga na wanaoendelea kumchukia sasa hivi ni kwa kuwa walikuwa wapigaji, na wapigaji hawakuwa na nafasi wakati wa uongozi wa JPM. Ila hata wao wanajua kabisa jinsi mwamba alivyokuwa anachapa kazi.
Kwa hiyo, baada ya Magufuli kufariki, unashauri tusiwe na Rais, tuendelee kumkumbuka hayati?Tulifika kwa kuwa na uongozi hodari na imara wa mwamba JPM, ambao:
• Ulipinga rushwa
• Ulipambana na mafisadi
• Ulishughulikia wauza madawa ya kulevya
• Ulipambana na majangili
• Uliwa-empower Watanzania wanyonge kama machinga, bodaboda, mama ntilie, n.k.
• Uliimarisha, kurekebisha na kuboresha miundombinu ya maji, afya, elimu na usafiri
• Uliimarisha taasisi na kubuni na kufufua mashirika ya umma kama Air Tanzania
• Ulianzisha na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati
• Ulifanya independent decisions bila kukopi kila kitu kutoka kwa mabeberu
• Ulidumisha uzalendo, uwajibikaji na uchapakazi.
Kwanini tusingefikia lengo kabla ya wakati?
nijiongeze vipi mkuu, we sema Magufuli kashakufa, nafasi ya Urais ifutwe? au unapendekeza nani awe rais?Jiongeze
Mwaka 2019 bank ya dunia ilitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati miaka mitano mapema zaidi kinyume na ilivyokuwa imetabiriwa kwamba itachukua miaka kumi.
Je, kuwahi huku kuingia uchumi wa kati ilikuwa ni matunda ya nidhamu ya uoga? Kama nidhamu ya uoga ina matunda kiasi hiki kwa nini tuiogope sasa?
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, swali la kujiuliza aliwezaje?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema, ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi March 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo, Lisu, Lema, Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
Kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga!
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!
Muda utawaumbua zaidi.