Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisaKuna mazuzu yatakuja apa wataasema tulizoea vya bure tufanye kazi, lakini kiukwel maisha mtaani magum bei ziko juuu sana!t
unakula ugali wa bure sio kwamba unautafuta ndio jibu kutoka kwa uliyo yaandikaWapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
Mbona huna akili mzee baba kodi ni lazima ilipwee katika kaz yyte inayokuingizia kipato..ukitaka maendeleo na kuacha kuwa kupe kwa beberu. lazima kila sh inaingia kwa mtu iwe imekatwa kodi..sasa ww dunga embe unalala na kodi..unahusianisha na uchumi wa kati..hujielewii.Mwenye majibu ya haya atujuze maana tumeambiwa uchumi wa kati ni maisha kuboreka, maendeleo makubwa na maskini kupungua kwa idadi. Sasa haya ya upandaji wa bidhaa kama Mafuta, Sabuni, Unga wa ngano, sukari kwa sasa sh. 2,800 ndio majibu ya uchumi wa kati?....
Hongereni wakenya.Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia....
Sisi tunatembelea vieitee!!Hongereni wakenya.
We subir mama apike ukale lunch..Wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
Mwenye majibu ya haya atujuze maana tumeambiwa uchumi wa kati ni maisha kuboreka, maendeleo makubwa na maskini kupungua kwa idadi. Sasa haya ya upandaji wa bidhaa kama Mafuta, Sabuni, Unga wa ngano, sukari kwa sasa sh. 2,800 ndio majibu ya uchumi wa kati?
Kuna Wilaya imeanza kutumika kama sampuli ya kuweka kodi kwa wapiga picha, washereheshaji, ma MC, Ongezeko la kodi kweye magari ya kubebea maiti. Wilaya hii ikifanikiwa bila malalamiko basi mikoa yote itaanza pia kutoza kodi hizo.
Nauliza tena huu ndio uchumi wa Kati? Sikatai kutoza kodi hapana nakubali ila swali ni je, huu ndio uchumi wa kati au ni ile miaka 5 tuliyoambiwa inayokuja?
Sisi tunatembelea mavieitee!!!We subir mama apike ukale lunch..
Mitano tena ,nasema uongo ndugu zangu?Nchi hii ni tajiri sana.
Tupo Uchumi wa kati.
Sisi tunatembelea mavieite.
Unaijua vieite wewe!!
View attachment 1691467