Uchumi wa jimbo moja la MAREKANI Ni MKUBWA kuliko GDP za nchi kama SAUDI ARABIA, RUSSIA, UK. Marekani itadumu kuwa Superpower?

Mkuu na fanya correction, uchumi wa USA ni $20trIllion madeni ni$ 16 trillion China inawadai $5Trillion madeni ya ndani ni $11Trillion.....uchumi wa Tz ni $19bn madeni hatuyajui ila mda wowote tutakua donner country kwa nchi za wazungu
Haaaaahaaaaaa
 
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.

Pamoja na mbwembwe zake zote za mafuta Saudi arabia uchumi wake haufikii uchumi wa jimbo sio tu la Texas ambalo ni la pili kiuchumi US bali hata Pennsylvania ($752 Billioni), Au Illinois ($ 820 billioni) Wakati wasaudia wao ni $683 Bilioni.

NEW YORK tu ambayo ni jimbo la tatu kiuchumi marekani kama ingekuwa nchi, Ingekuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kuliko Korea kusini, Russia na Australia
Wakati Sauth Korea ilihitaji watu wafanyakazi milioni 27.9 kuzalisha uchumi wao, New York ilihitaji Workforce ya Millioni 9.7 Kuzalisha uchumi unaozidi wa nchi ya south korea.

Kama mwaka jana majimbo ya Califonia, Texas na New York yangekuwa ni nchi moja basi Ingekuwa ni nchi ya tatu kwa uchumi Duniani nyuma ya china na Marekani na mbele ya Japan.

source

aei.org

US bado ni Superpower wakuu, Upenzi usio na ushabiki unaonyesha hili licha ya spidi ya china.

karibuni wakuu mbalimbali kwa maoni.
Kuna watu hawapendi kusikia wala kusoma habari kama hizi!
 
Majambaza hao
Uchumi uliojengwa kwa wizi na damu za watu

hautodumu milele juu
ni sawa na jani la mwarubaini
 
Nchi zote za Africa ikiwemo south Africa na Nigeria..uchumi wake haufiki $ 2 trillion. Wakati USA yenyewe peke yake uchumi wake ni zaidi $16.trillion. Halafu hapo Jiwe anasema Tanzania ni nchi tajiri sana...na haitahitaji msaada.
Wanaota sana akina jiwe na wenzie wote.
 
We hujui siasa ya dunia na umafia wa Wazungu, wanajifanya kuhubiri demokrasia lakini ndo wanayotumia kutuibia rasilimali
Hebu tuachane propaganda hapa kuibiwa kitu gani? wewe ukipeleka mazao yako sokoni ukiuza kwa bei ya makubaliano halafu utasema umeibiwa? hebu tutajie rasilimali moja tu tunayo ibiwa yaani walikuwa na kupora bila kulipa wakaondoka. tuacheni siasa hizi za kijinga hao Dubai tu desert wametuacha mbali sana tu nao wameiba nini? Sungapore wametuibia nini? S.Korea?Japan? Malaysia? na zingine nyingi tu. USA imekuwa superpower toka enzi hatuna hata biashara nao, wana siasa nzuri za kibiashara na nchi ya sheria kila biashara iko wazi kwenye stock exch ni uchumi shirikishi una uwezo unanunua shares. USA wana nguvu za kiuchumi na sababu ni viwanda na Tech wana invest sisi serikali nzima tunakimbilia KOROSHO ndio ujuwe uwezo wetu uko wapi.
 
Lazima tuwe wapole na shikamoo juu wauza burger to Macdonald 75$ Million kwa siku.
McDonald's reported $37,480,670,000($37.5 billion ) in sales in the
U.S only.
That means $102.686.767 a day .
McDonald's has 14,036 units in the United States.
So that means $2,670,320 per unit a year.
And $7,315 per unit a day.
Uchumi wa wakubwa unatisha.
 
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.
Wamepata kimbunga cha moto. Watu 63 wamefaraki, zaidi ya 600 hawajulikani walipo miji imeangamia...tuone sasa namna Utajiri wao utakavyowafanya wasimame. Halafu walitaka kujitenga hawa!!? Huu moto ni hujuma ya 'Federo' ama nini?
California ‘war zone’: 63 killed, 600+ missing in raging wildfires (HARROWING VIDEOS)
 
McDonald's reported $37,480,670,000($37.5 billion ) in sales in the
U.S only.
That means $102.686.767 a day .
McDonald's has 14,036 units in the United States.
So that means $2,670,320 per unit a year.
And $7,315 per unit a day.
Uchumi wa wakubwa unatisha.
Hii ni mapato.yoote ya mkoa mmoja wetu hapa Tanzania
 
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.

Pamoja na mbwembwe zake zote za mafuta Saudi arabia uchumi wake haufikii uchumi wa jimbo sio tu la Texas ambalo ni la pili kiuchumi US bali hata Pennsylvania ($752 Billioni), Au Illinois ($ 820 billioni) Wakati wasaudia wao ni $683 Bilioni.

NEW YORK tu ambayo ni jimbo la tatu kiuchumi marekani kama ingekuwa nchi, Ingekuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kuliko Korea kusini, Russia na Australia
Wakati Sauth Korea ilihitaji watu wafanyakazi milioni 27.9 kuzalisha uchumi wao, New York ilihitaji Workforce ya Millioni 9.7 Kuzalisha uchumi unaozidi wa nchi ya south korea.

Kama mwaka jana majimbo ya Califonia, Texas na New York yangekuwa ni nchi moja basi Ingekuwa ni nchi ya tatu kwa uchumi Duniani nyuma ya china na Marekani na mbele ya Japan.

source

aei.org

US bado ni Superpower wakuu, Upenzi usio na ushabiki unaonyesha hili licha ya spidi ya china.

karibuni wakuu mbalimbali kwa maoni.
Ndugu waarabu wana pesa.
Kuna developed countries na richest countries.
US ni developed ila sio richest kuwashinda waarabu.
Ila unapozungumzia suala la kifedha China ndio taifa lenye foreign reserve kubwa tena ya dollar kumshinda hata US mwenyewe.
Mwaka huu february Bank kuu ya China imeripotiwa kukopesha mataifa takriban 138 dunian na kusamehe mataifa 38 kiufupi takriban robo tatu ya dunia imekopeshwa na Mchina ikiwemo US yenyewe ambaye deni kwake limefikia takriban US dollar trillion 8.
Ukija upande wa kuwa super power US ni super power kwa jina sio km zamani.
Maana influence kisiasa,kifedha na kijeshi kapoteza .
China imewahi kutunishiana misuli kijeshi na US.US ikasanda.
 
Calfonia GDP yao mwaka jana ilikuwa $ 2.75 Trillioni wakati United Kingdoms ilikiwa ni $ 2.62.
Kama Calfonia ingekuwa ni nchi, Basi ingekuwa nchi ya Tano Kwa Utajiri Duniani ikizipiku India, Utaransa na uingereza.

Pamoja na mbwembwe zake zote za mafuta Saudi arabia uchumi wake haufikii uchumi wa jimbo sio tu la Texas ambalo ni la pili kiuchumi US bali hata Pennsylvania ($752 Billioni), Au Illinois ($ 820 billioni) Wakati wasaudia wao ni $683 Bilioni.

NEW YORK tu ambayo ni jimbo la tatu kiuchumi marekani kama ingekuwa nchi, Ingekuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kuliko Korea kusini, Russia na Australia
Wakati Sauth Korea ilihitaji watu wafanyakazi milioni 27.9 kuzalisha uchumi wao, New York ilihitaji Workforce ya Millioni 9.7 Kuzalisha uchumi unaozidi wa nchi ya south korea.

Kama mwaka jana majimbo ya Califonia, Texas na New York yangekuwa ni nchi moja basi Ingekuwa ni nchi ya tatu kwa uchumi Duniani nyuma ya china na Marekani na mbele ya Japan.

source

aei.org

US bado ni Superpower wakuu, Upenzi usio na ushabiki unaonyesha hili licha ya spidi ya china.

karibuni wakuu mbalimbali kwa maoni.
Umeona kaka na bado data zingine anaficha huyu jamaa.
Hizo ni data za direct loan.
Yani nchi inashindana na shirika la fedha la KIMATAIFA.

Screenshot_2021-09-17-18-51-20.png

Screenshot_2021-09-17-18-50-53.png
 
Wewe ndugu. Mbona unakuja na hoja mfu? Pale Liganga si nasikia kuna chuma sasa mzungu gani amekuzuia usichimbe hata Tanzanite pia tumefanya ujinga ujinga wee na wengine ndio wanafaidi.

Tukiendekeza hii tabia ya kuwalaumu wazungu kwa huu umasikini tuliyojiletea wenyewe, hakika tutaendelea kubaki "The World's Laughing Stock" mpaka mwisho wa dahari na mbaya zaidi eti mtu mwenye Mentality kama yako hiyo ndio awe kiongozi,,,,What a hell.

hukuona vita aliyokuwa anapigwa magufuli kuwa anaharibu maliasili kumbe lengo ni kukwamisha mradi wa umeme ambao huenda ungechochea kututoa hatua moja ya kiuchumi , na Africa tuna kundi kubwa lipo kuwapinga viongozi wake na hao ndio wazungu huwatumia kufanikisha kukwamisha mipango thabiti ya kulinyanyua bara la africa, mzungu anapambana kuwaangusha kwa kila namna wale viongozi wanaopambana kutuletea uhuru wa kiuchumi na kisiasa mf Muamar Ghadaf , Patrick Lumumba , Thomas Sankara, Haile Silesie, Nk kikubwa ukiona kiongozi wa waafrika anapingwa sana na wazungu juwa kuwa kawabana wazungu kimaslai kweny hilo taifa husika na hapo utasikia rais ni muuaji ( kumbe mauaji muda mwingine wanayaratibu wao ili kuchafua taswira ya huyo kiongoz) pia utasikia rais ni Dictator mara hajali haki za binadamu mf juz nliona media za ulaya zinaliponda jeshi la cameroon kwa kuwatreat vibaya magaidi ya boko haram ( nkajiuliza hv kwanini wasitumie nguvu nyingi kwenye kulikemea lile kundi badala yake wanataka kuunda mgawanyiko baina ya wananchi wa cameroon na jeshi lao hapo nkagundua kuna uwezekano mkubwa hayo makundi yanafadhiliwa na serikali zao, hiyo ni kama sehemu mojawapo ya kutunyonya )

kiufupi bara la afrika tunapigwa vita ya chini kwa chini na sisi bado tumelala hatujaamka
 
Mchawi wa Afrika ni waafrika wenyewe hayo mengine ni visingizio tu visivyo na msingi.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom