simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Amazon revenue $177 billion 2017.
Tanzania GDP $52 billion 2017.Extremely humbling.
Tujenge tabia ya upole!
Tanzania GDP $52 billion 2017.Extremely humbling.
Tujenge tabia ya upole!
Mbna hujataja deni la chinaMkuu na fanya correction, uchumi wa USA ni $20trIllion madeni ni$ 16 trillion China inawadai $5Trillion madeni ya ndani ni $11Trillion.....uchumi wa Tz ni $19bn madeni hatuyajui ila mda wowote tutakua donner country kwa nchi za wazungu
Acha umburura ww Kwa izo data si wamendika wenyeLkn wewe siyo Muzungu, na wala siyo Mmarekani, hayo unayoyasema walipaswa Muzungu mwenyewe Mmarekani na Mrusi, Muingereza au Saudi ndo wayaseme lkn siyo wewe, wewe kwako ni Afrika mbona haujaiweka hapo?
undefinedsaudi ndio anamtumikisha marekani,undefinedhuna habari wale wanajeshi wa marekani syria,saudi ndoa anatoa hela wawepo pale,Trump alitoka kutoa majeshi,saudi akakataa na kumwambia watamlipa,undefinedsaudi wana jeuri ya pesa sio mchezo,marais wa marekani kwa saud huwa wanakuwa wadogo sanaUSA anaipenda Saudia kinafiki siku mafuta yakiisha utaona watakavyompa mgongo, USA akikohoa tu Saudia anatoa mpunga, siraha ananunua kwenda kuwapiga waarabu wenzake na uwezo wenyewe wa kupigana anao mdogo tu waasi kule Yemen wanamhenyesha.

Huo uchumi wa Afrika zaidi ya asilimia 60 uko Nigeria, South Africa, Angola na Egypt. Ukiweka asilimia za nchi za kiarabu unagundua hii jeuri ya wanasiasa wetu hapa danganya toto. Hatuna nafasi kwenye uwanja wa dunia.Nchi zote za Africa ikiwemo south Africa na Nigeria..uchumi wake haufiki $ 2 trillion. Wakati USA yenyewe peke yake uchumi wake ni zaidi $16.trillion. Halafu hapo Jiwe anasema Tanzania ni nchi tajiri sana...na haitahitaji msaada.
Ndiyo2017?
Your assertion is too irrelevant and irrational to warrant any meaningful discussion.Nikuhulize unafahamu ukubwa wa hayo majimbo
Na unajua kuwa hizo ni states zilizoungana?
Au umejisahulisha?
Tupe za ukweli make unaonyesha jinsi ulivyo mtu wa vijiweni sana.Sio Kila Data Ya Hao Jamaa Ni Ya Ukweli
Wanapenda Sana Sifa Hao Zinduka
haya bamdogo subiria hapohapo nakupatiaTupe za ukweli make unaonyesha jinsi ulivyo mtu wa vijiweni sana.
Wewe ndugu. Mbona unakuja na hoja mfu? Pale Liganga si nasikia kuna chuma sasa mzungu gani amekuzuia usichimbe hata Tanzanite pia tumefanya ujinga ujinga wee na wengine ndio wanafaidi.China wanamaarifa tangu yesu hata hajazaliwa, sisi maarifa yetu walikuja kuharibiwa na elimu ya kikoloni, unajua kuwa kuna dola kama kushi kule Ethiopia walikuwa wanafua chuma? Kule dola ya Fulani ilikuwa tajiri sana na ilifanya biashara hadi Afrika kaskazini je leo viwanda hivyo vya chuma vipo? Na kwann vilikufa? Jibu ni moja tu tuliwaamini wazungu na hadi leo akili zetu zimelala
Labda Alaska ya KiburugwaTanzania inauchumi sawa na jimbo la alaska.
Unataka Kusemaje? Akaska Ipo Juu Ama TZ?Labda Alaska ya Kiburugwa
Hatofautiani kiakili na wale jamaa waliokutana na hela za korosho wakaanza kuwanywesha mbuzi "beberu" bia eti wawapandishe ashki majinuni!!!!Nchi zote za Africa ikiwemo south Africa na Nigeria..uchumi wake haufiki $ 2 trillion. Wakati USA yenyewe peke yake uchumi wake ni zaidi $16.trillion. Halafu hapo Jiwe anasema Tanzania ni nchi tajiri sana...na haitahitaji msaada.
hahahahaLabda Alaska ya Kiburugwa
mkuu, hiyo ni kwa mujibu wa data za serikali ya marekani na ilipotolewa iliandikwa na magazeti ya kuaminika ulimwenguni.Ndiyo
aminaAmazon revenue $177 billion 2017.
Tanzania GDP $52 billion 2017.Extremely humbling.
Tujenge tabia ya upole!