BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Haa Haa Tanzania 🇹🇿 Ya Frame Itapaa Sana Kwenye UchumiLugalo jeshini na wenyewe Wana frame ni mwendo wa Tanzania ya frame
Watanzania tunapenda kuigana vipi Sheria za mipango Miji maana sikuhizi huwezi jua soko ni lipi na makazi ya watu ni yepiNimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya
Aliyetoa Wazo JW Alitakiwa Ajitafakari Sana Sana Vinginevyo Ni Aibu TupuNchi hii watanzania wanapenda kuigana pia fremu ni ujinga na kipimo duni, mie kilichonichosha zaidi Hadi jwtz Lugala walikata ile miti mingi wakajenga frem ...
Hahaaa' wanajenga na kubomoaa apo apo ni hatari Sana ile kuweka vibrate kwenye taasisi nyeti km ile najaribu kuwazaUna ugomvi na pale lugalo?
Umewaza km Mimi kila nikipita pale nasema mhhh these people are not serious taasisi nyeti km hiii wanavutia muingiliano wa watu manake nimeona hadi pub pale ni hatari Sana hata ni kujikwamua au kujiongezea njia nyngne ya kipato hpn aiseeNchi hii watanzania wanapenda kuigana pia fremu ni ujinga na kipimo duni, mie kilichonichosha zaidi Hadi jwtz Lugala walikata ile miti mingi wakajenga frem hii ni aibu hivi jeshi kweli ubunifu umeishia kujenga frem tu wakati Kwa wenzetu majeshi huongoza ubunifu na hizo frem wanazojenga vipi ma jasusi wa nchi jirani wakikodi Kwa masilahi ya uchunguzi.
In short nchi hii watu wanatumia asilimia Moja ya ubongo kufikiria