Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 32,288
- 46,966
Uchumi unaathiri sana mapenzi..
Ukiwa na uchumi mzuri mapenzi yanakuwa matamu sana..ila uchumi ukiwa haueleweki eleweki au ukiwa unayumba yumba tu utamu wa mapenzi unapotea, kwa sababu akili nyingi inakuwa kwenye utafutaji wa kutimiza yale mambo muhimu ya mwanzo ambayo ni chakula ,malazi, makazi n.k Ndio maana mtu anayekuwa yuko bize sana kutimiza mahitaji yake anakuwa hana hisia kwa mpenziwe. Kama vijana inabidi tupambane kweli kweli ili uchumi binafsi uimarike na hisia ziongezeke pia.