Uchumi unaanguka wakati Barclays wanafungua matawi nchini!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,258
2,000
Tanzania ni nchi za maajabu sana!

Ukisoma kwenye baadhi ya mitandao unaweza kudhani nchi iko mbioni kufirisika!

Ukiwatafuta baadhi ya wanasiasa wanakuambia uchumi unaanguka.

Ukiwatafuta wachumi wanakuambia uchumi unaimarika.

Ukienda kwa wafanyabiashara makini kama Barclays ambao biashara zao zinategemea sana uchumi wa mtu mmoja mmoja nchini wanakuambia mazingira ya uchumi nchini ni mazuri ndio sababu wanaendelea kufungua matawi ya benki katika sehemu mbali mbali hapa nchini.

Nani anayesema ukweli?

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (katikati), Afisa Usambazaji wa Barclays Africa Group Limited, Vimal Kumar (kulia) na Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la kisasa la benki hiyo lililopo katika jengo la Alpha House kando ya Barabara ya New Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa wa Barclays wakiongozwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather (kushoto), wakiwa na baadhi ya wateja na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi hilo uliofanyika tarehe 19 Desemba 2016.

The new branch is located at Alpha House on Ali Hassan Mwinyi Road. The bank said it will remain in the country following confidence in the growth and direction of Tanzania's economy.

Tanzanian business is the strongest Barclays franchise in Africa, the bank said in a statement yesterday. "Barclays is fully committed to serving the Tanzania's market. As you may have seen in the past two weeks.

With the opening of the new branch means we can leverage on the social and economic development in Dar es salaam region and beyond," said the bank's Managing Director Abdi Mohamed.

Mwezi wa sita walifungua pia matawi katika Jiji la mwanza.

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,289
2,000
Kanywe maji ukalale basi, umafikiri ni kwanini hotel zinauzwa sana?

Je,wananchi wanalalamika unafiki kuhusu mzunguko wa fedha kutokuwa mzuri?

Nafikiri aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Fedha zimeadimika sana period!
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,025
2,000
Mimi furaha yangu kila siku ni kusikia habari kama hizi......

Sio Mara bank imefirisika,Mara viwanda vimepunguza wafanyakazi...........

Nikisikia taarifa ya uwekezaji mpya ndio furaha yangu.......

Nikisikia kampuni imefirisika ndio hasira zangu...........

Tupende kufurahia mazuri na kukosoa mabaya sio kila kitu kusifia au kila kitu kukosoa........
 
ycam

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
877
1,000
Kama tukio hili moja tu ni kigezo cha kupima uchumi kukua au kuporomoka basi uzungumzie na habari ya biashara nyingi kufungwa au kufilisiwa ktk kipingi cha miezi ya hivi karibuni na athari yake kiuchumi. Hivi juzi tu tumesikia mabasi ya Mohamed Enterprises yanapigwa mnada kutokana na kufilisika, CRDB wakirekodi hasara, hotels na maduka kufungwa etc. Sasa unawezaje kutumia mfano mmoja wa kufunguliwa tawi moja la benki kupinga hoja ya uchumi kuyumba ilihali unajua kuna mifano mingine mingi tu ya biashara zilizofeli kipindi cha mwaka huu.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,503
2,000
Tanzania ni nchi za maajabu sana!

Ukisoma kwenye baadhi ya mitandao unaweza kudhani nchi iko mbioni kufirisika!

Ukiwatafuta baadhi ya wanasiasa wanakuambia uchumi unaanguka.

Ukiwatafuta wachumi wanakuambia uchumi unaimarika.

Ukienda kwa wafanyabiashara makini kama Barclays ambao biashara zao zinategemea sana uchumi wa mtu mmoja mmoja nchini wanakuambia mazingira ya uchumi nchini ni mazuri ndio sababu wanaendelea kufungua matawi ya benki katika sehemu mbali mbali hapa nchini.

Nani anayesema ukweli?

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (katikati), Afisa Usambazaji wa Barclays Africa Group Limited, Vimal Kumar (kulia) na Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la kisasa la benki hiyo lililopo katika jengo la Alpha House kando ya Barabara ya New Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa wa Barclays wakiongozwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather (kushoto), wakiwa na baadhi ya wateja na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi hilo uliofanyika tarehe 19 Desemba 2016.

The new branch is located at Alpha House on Ali Hassan Mwinyi Road. The bank said it will remain in the country following confidence in the growth and direction of Tanzania's economy.

Tanzanian business is the strongest Barclays franchise in Africa, the bank said in a statement yesterday. "Barclays is fully committed to serving the Tanzania's market. As you may have seen in the past two weeks.

With the opening of the new branch means we can leverage on the social and economic development in Dar es salaam region and beyond," said the bank's Managing Director Abdi Mohamed
Wacha umbumbumbu
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,806
2,000
Local Bank nyingi zinaanguka hatuwez jifariji kwa katawi kamoja kanachofunguliwa Tena Dar...tusijidai mataahira ili kuficha ujinga. Tunaongeza tatizo la ajira nchini kwa kujidai tuko serious! Lets see
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,757
2,000
Mkuu msemaji ukweli haohao Barclays wamefunga tawi hapa Arusha lililo eneo la Nakumat super market zamani shoprite. Huenda ikawa ni mbadala wa hilo lililofunguliwa Dar. Anyway tuache hili, kwa mujibu wa mtazamo wako ukiona tawi limefunguliwa ndio uchumi unakua. Je ni matawi mangapi wamefungua hapa nchini toka mwaka huu uanze? Umenichekesha hapo uliposema ukiwafuata wachumi wanakuambia uchumi unakua. Ajabu hao wachumi wote hawana mradi wowote waliofungua na ukiwatoa kwenye ajira maisha yao yanaharibika. Si unaona yule professor wa uchumi a.k.a bwana yule anachofanya? Kama uchumi unaenda vizuri kipi kimemshinda kufungua mradi badala yakuzunguka kuvunja milango ya ofisi za chama? Au hao wachumi mnaowafuata kuwauliza ni hao? Sipingi kipimo chako cha uchumi kuimarika kwa hilo tawi kufunguliwa.
 
xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
2,007
2,000
Ndio hawa walio filsika wakafunga matawi yao kbao?
Wajtahd kurud vzur vzur.....
 
LuSilk

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
784
500
Tanzania ni nchi za maajabu sana!

Ukisoma kwenye baadhi ya mitandao unaweza kudhani nchi iko mbioni kufirisika!

Ukiwatafuta baadhi ya wanasiasa wanakuambia uchumi unaanguka.

Ukiwatafuta wachumi wanakuambia uchumi unaimarika.

Ukienda kwa wafanyabiashara makini kama Barclays ambao biashara zao zinategemea sana uchumi wa mtu mmoja mmoja nchini wanakuambia mazingira ya uchumi nchini ni mazuri ndio sababu wanaendelea kufungua matawi ya benki katika sehemu mbali mbali hapa nchini.

Nani anayesema ukweli?

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (katikati), Afisa Usambazaji wa Barclays Africa Group Limited, Vimal Kumar (kulia) na Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la kisasa la benki hiyo lililopo katika jengo la Alpha House kando ya Barabara ya New Bagamoyo, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa wa Barclays wakiongozwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Biashara Reja reja wa benki hiyo nchini, Kumaran Pather (kushoto), wakiwa na baadhi ya wateja na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi hilo uliofanyika tarehe 19 Desemba 2016.

The new branch is located at Alpha House on Ali Hassan Mwinyi Road. The bank said it will remain in the country following confidence in the growth and direction of Tanzania's economy.

Tanzanian business is the strongest Barclays franchise in Africa, the bank said in a statement yesterday. "Barclays is fully committed to serving the Tanzania's market. As you may have seen in the past two weeks.

With the opening of the new branch means we can leverage on the social and economic development in Dar es salaam region and beyond," said the bank's Managing Director Abdi Mohamed
Muulize mtu sahihi upate jibu sahihi.Wewe ukiumwa unamwendea mwanasiasa badala ya daktari ? Habari ya uchumi pata kwa mtaalamu wa uchumi. Usitegemee vilaza wa kwenye mitandao !
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,492
2,000
don't be this cheap chap...umesoma ripoti ya BOT kuhusu hali ya uchumi kwa quarter ya mwisho ya 2016?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom