Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,430
Huwaga nashindwa kuwaelewa kabisa hawa watu!! Sijui hawaishi Tanzania?? Au wanaishi Tanzania wa vi-wonder?
Kwani wewe huna mkuu?Ivi kumbe wallet bado zipo
Ntaweka nnKwani wewe huna mkuu?
Ungekuwa umesoma uchumi ungeelewa, sasa kama ukusoma uchumi unataka uelewe nn?
Huwaga nashindwa kuwaelewa kabisa hawa watu!! Sijui hawaishi Tanzania?? Au wanaishi Tanzania wa vi-wonder?
Ntaweka nn
Ungekuwa umesoma uchumi ungeelewa, sasa kama ukusoma uchumi unataka uelewe nn?
Wewe kaaa usubirie Gari yako ya Noah