Uchumi ukikua kwa 7.2% na kuwa wa pili kwa Afrika, Akiba Commercial Bank yaanza kupunguza wafanyakazi hali tete kihasara

Jamani we are in the right track... tuvumilie mwanzo mgumu.. nimebana hela za mafisadi ndo maana mabank hakuna hela...
 
Mleta mada una kitu kinachokuvuruga kichwani na kule nyuma - hivi kufungwa kwa banki kunazuia uchumi kukuwa???
1. Wamekuonesha sbb ya kufunga biashara yao??
2. Serikali huwa inawapangia uendeshaji???
3. Ikama yao unaifahamu sawia???

Acha kutumika
Kama akili ndio hizi hili taifa lina wajinga wakubwa
1. Kama kusoma hujui umejibu nini na walaka/memo inajieleza.
2. Aliyetoa mwongozo wa riba na BOT kazi yake ni nini? Naona hujui ila unaropoka kisa uchama
3. Unajua maana ya sekta binafsi na serikali vina mahusiano gani katika uchumi wa nchi na ajira?
 
Kukua kwa uchumi sio mara zote kuguse maisha ya mwananchi, inategemea na sababu mbalimbali.mf wenzetu wa Ethiopia uchumi wao ni mzuri, na mkubwa kuliko wetu, lakini kila siku wanatoroka nchi yao, tunawakamatia kwetu kama wahamiaji haramu.
 
Hats siwezi kushangaa, kama main source of income ilikuwa ni mikopo, na hela yenyewe ya ukopeshaji walitegemea makusanyo ya maduhuli ya serikali. Kwa awamu hii ya JPJM lazima wazimike. Inaelekea asilimia 98 ya accnt za wateja wa Benki hii walikuwa wakopaji, savings 2℅
 
Hata USA wafanyakazi hupunguzwa.
Uzembe, Ufisadi Akiba Commercial bank!!!! inakera

Zipo factors kadhaa zinaweza kupelekea Taasisi zisiweze kuendana na kasi ya ushindani sokoni.

Hivi ACB ina matawi mangapi halafu imeajiri wangapi?

Ajira| Top stories,read all Tanzania headlines here May 14, 2018 | Popular news in Tanzania
hata kama ikiwa imeajiri watu ishirini hiyo haifuti dhana kwamba watanzania wenzetu hawajaajiriwa na ACB, hata kama ingekuwa na matawi manne nchi nzima, hayo matawi yana faida kubwa kuanzia kwa mfanya usafi mpaka kwa branch manager

anyway, ushindani uliopo katika financial sector ni mkubwa lakini hukumbuki sekta hiyo ilivyoyumba kuanzia mwaka 2016 mpaka 2017? hukumbuki kwamba hata mabenki yaliyoambiwa yaongeze mtaji yalishindwa na kufilisiwa kutokana na market kuto support capital raising?

ukiona hivi kama wewe ni mzalendo ni lazima ujiulize kulikoni ? ? ? ? . . . .
 
Back
Top Bottom