Uchumi ukikua kwa 7.2% na kuwa wa pili kwa Afrika, Akiba Commercial Bank yaanza kupunguza wafanyakazi hali tete kihasara

Bongo bhana sasa unalinganisha taasisi ya fedha na mawasiliano?? Hivi makampuni ya simu demand imewahi kushuka?? Banking sector imetapakaa kuliko sekta ya mawasiliano?? Kuna watu wana line 4 ila hawana account hata moja ya benki afterall wanatumia mobile money wakitaka kufanya miamala sasa unalinganishaje sekta mbili zilizo mbali kabisa

Kumbuka benki zinategemea sana mzunguko wa hela ili ziweze kukua ila mawasiliano hata kama pesa hakuna ni lazima tu mtu ataweka vocha maana mawasiliano ni BASIC NEED hata migahawa na magenge hayawezi pata hasara sababu mtu lazima ale tu hana namna ila uchumi ukidorora benki inakosa liquidity na since kwa watanzania benki sio BASIC NEED lazima ifilisike tu among other factors
 
Mtaa wa Kongo hapa nao 'Azania Bank' wame funga Tawi lao lililokuwa likitoa Huduma kwa Maeneo haya.
 
Kama hulka ya watanzania ni kutumia Simu kwa miamala kwa nini ulazimishie banking system ya kizamani ndio uone uchumi unakua?

Ajira| Top stories,read all Tanzania headlines here May 14, 2018 | Popular news in Tanzania
 
Mtaa wa Kongo hapa nao 'Azania Bank' wame funga Tawi lao lililokuwa likitoa Huduma kwa Maeneo haya.
Mizinguko haramu ya fedha chafu haiwezi kuendelea kuwepo ....Yaani tulifika mahali kila genge la mafisadi linaanzisha benki !!
 
Kama hulka ya watanzania ni kutumia Simu kwa miamala kwa nini ulazimishie banking system ya kizamani ndio uone uchumi unakua?

Ajira| Top stories,read all Tanzania headlines here May 14, 2018 | Popular news in Tanzania
Sio kulazimisha ila ni uhalisia hakuna nchi duniani iliyokuwa kama Financial sector iko chini.... Sasa unategemea miradi itakuwa funded na nini kama financial institution zikifa??? Au unategemea Mpesa na tigo pesa ndio zinaweza fanya kazi ya kibenki ilihali zinaishia kwenye kutuma na kupokea hela tu ila Shughuli zingine za kibenki haziwezi kufanya. sasa kwa maelezo yako simu ndio alternative ya benki??

Nachosema sio benki zimekufa sababu watanzania hawatumii la hasha nmesema uchumi ukiyumba watanzania wanaishia kuinvest kwenye mambo yaliyo NECESSARY basiiii ndio maana usishangae Vodacom kuingiza faida ilihali uchumi umeporomoka..... Ila usitumie mfano huo wa voda kwa kibenki sababu nmeshakupa sababu kuwa uchumi ukishuka scale of preference inabadilika kuendana na purchasing power yako kwa hiyo lazima athari ionekane kwenye SEKTA ZISIZO NA ULAZIMA ila haziwezi onekana kwenye SEKTA ZA KILAZIMA kama afya,chakula,mawasiliano,usafirishaji n.k

Kuna tofauti mkuu
 
Lumumba shida. Sijui wako nchi gani. Nashindwa anae sifia hali hii anafanya shughuli gani za kumuingizia kipato mpaka aone mambo poa. Au ameajiriwa wp maana waliopo serikalini wanalalamika. Wakulima hakuna soko la mazao yao. Gunia la mahindi 30000. Gharama za kuzalisha kilo moja ni sh 500. Mimi naona kuna watu wanaishi Jupiter wanakuja tu kwenye Dunia/ Earth kusanifu n kuondoka. Km sio hivyo kuna mijitu mijinga haijawi kutokea.
 
Back
Top Bottom