johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,139
- 146,489
Watabaki kina bwashee watupu kama IPP!View attachment 776975 Mie sitii neno ila soma mwenyewe huu ndio uwekezaji CCM inautaka
Watabaki kina bwashee watupu kama IPP!View attachment 776975 Mie sitii neno ila soma mwenyewe huu ndio uwekezaji CCM inautaka
masaa 24 upo kwenye Insta halafu unategemea jero itapona?WEKA VOCHA YA JERO HALAFU IACHE MASAA MAWILI UONE.
Wapiga deal wote lazima muote ndevu zenye mvi
masaa 24 upo kwenye Insta halafu unategemea jero itapona?
Pumbavuuuu
Bongo bhana sasa unalinganisha taasisi ya fedha na mawasiliano?? Hivi makampuni ya simu demand imewahi kushuka?? Banking sector imetapakaa kuliko sekta ya mawasiliano?? Kuna watu wana line 4 ila hawana account hata moja ya benki afterall wanatumia mobile money wakitaka kufanya miamala sasa unalinganishaje sekta mbili zilizo mbali kabisa
Kama hulka ya watanzania ni kutumia Simu kwa miamala kwa nini ulazimishie banking system ya kizamani ndio uone uchumi unakua?Bongo bhana sasa unalinganisha taasisi ya fedha na mawasiliano?? Hivi makampuni ya simu demand imewahi kushuka?? Banking sector imetapakaa kuliko sekta ya mawasiliano?? Kuna watu wana line 4 ila hawana account hata moja ya benki afterall wanatumia mobile money wakitaka kufanya miamala sasa unalinganishaje sekta mbili zilizo mbali kabisa
Kumbuka benki zinategemea sana mzunguko wa hela ili ziweze kukua ila mawasiliano hata kama pesa hakuna ni lazima tu mtu ataweka vocha maana mawasiliano ni BASIC NEED hata migahawa na magenge hayawezi pata hasara sababu mtu lazima ale tu hana namna ila uchumi ukidorora benki inakosa liquidity na since kwa watanzania benki sio BASIC NEED lazima ifilisike tu among other factors
Mizinguko haramu ya fedha chafu haiwezi kuendelea kuwepo ....Yaani tulifika mahali kila genge la mafisadi linaanzisha benki !!Mtaa wa Kongo hapa nao 'Azania Bank' wame funga Tawi lao lililokuwa likitoa Huduma kwa Maeneo haya.
Mizinguko haramu ya fedha chafu haiwezi kuendelea kuwepo ....Yaani tulifika mahali kila genge la mafisadi linaanzisha benki !!
Sio kulazimisha ila ni uhalisia hakuna nchi duniani iliyokuwa kama Financial sector iko chini.... Sasa unategemea miradi itakuwa funded na nini kama financial institution zikifa??? Au unategemea Mpesa na tigo pesa ndio zinaweza fanya kazi ya kibenki ilihali zinaishia kwenye kutuma na kupokea hela tu ila Shughuli zingine za kibenki haziwezi kufanya. sasa kwa maelezo yako simu ndio alternative ya benki??Kama hulka ya watanzania ni kutumia Simu kwa miamala kwa nini ulazimishie banking system ya kizamani ndio uone uchumi unakua?
Ajira| Top stories,read all Tanzania headlines here May 14, 2018 | Popular news in Tanzania
Inaingia JF tu na kuwatch You tube videos na livestreamingJina lina sadifu kilichomo kichwani mwako kwa hiyo nokia ya tochi inaingia insta sio?
Tumia akili zako kuelewa hoja zangu achana na maagizo ya ufipaMkuu ni umeamua kuongea tu sababu unao Mdomo au unatumia na Akili zako ktk kujibu Hoja ?
Inaingia JF tu na kuwatch You tube videos na livestreaming
Tumia akili zako kuelewa hoja zangu achana na maagizo ya ufipa
Sijaona mahali wamesema WANAPUNGUZA WAFANYAKAZI sababu ya UCHUMI mbaya wa NCHI HII......