uchumba

uchumba

Mkuu huyo ana mimba alafu unaweweseka, hapo unaweza utoe tu 200k una mke tayari
 
Mkuu huyo ana mimba alafu unaweweseka, hapo unaweza utoe tu 200k una mke tayari
 
wanajua nilipokuwa naishi na maisha yangu ya kawaida tu mimi ni fundi ila hicho kiasi niliwaambia kuwa sina but wakakataa wakidai ndugu wanichangie hili itimie nimuoe binti yao
pole sana wewe tulia tu maana huyo ashakuwa mkeo usijali watakuja wenyewe hao wazazi wako
 
Mapenzi peke yake hayatoshi, tafute hizo Million 5 peleka ukaoe huyo binti...

Kama huna waache wakae na mtoto wao mpaka pale utakapozipata...


Cc: mahondaw
 
Wakwe wanataka wabadilishe mwanao na passo kaa kimya lea mimba ikisanuka watamtimua hapo unajibebea bila shida badae unapigwa faini
 
Wakwe wanataka wabadilishe mwanao na passo kaa kimya lea mimba ikisanuka watamtimua hapo unajibebea bila shida badae unapigwa faini
[emoji30] [emoji30] [emoji30] faini tena mkuu
 
acha bangi ww! yule Wa kisarawe unazan ni Wa bei gan?
Myoshi inakutesa.
Ushasikia kaolewa?
Makopakopa na mishepu ni kwaajili ya matumizi ya muda ya binadamu.
Kunguru hafugagwi wewe, wacha kuvuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom