Sumia kwani wewe msimamo wako ni upi ili tukushauri kutokea hapo?
Uelewa kuwa mwenye jukumu la maisha yako ni wewe ila wazazi wapo kukuongoza (kukushauri) il kufuata njia iliyo sahihi.
Wakati mnaanza uhusiano wenu je mliangalia suala la dini na kukubaliana jinsi ya kulikabidhi?