Ingefaa mchumba wako ukamwambia ili mjue mtafanya nini juu ya hili. Ila uamuzi wowote utakaochukua hakikisha unatoka moyoni mwako ili baadae usije ukajilaumu au kulaumu watu wengine. Kwa mfano ikiwa utawasikiliza wazazi na ukaamua kuachana na mchumba wako sasa ikitokea huko mbele mambo yasiwe mazuri upande wako basi pasiwe na nafasi ya kulaumu wazazi. Ikiwa utaamua kuambatana na mchumba wako na huko mbele akakuumiza basi hakikisha isiwepo room ya kulaumu na kujutia uamuzi wako. Simama ktk kile unachoona kinakufaaBAK
Mchumba anajua kama imeharibika na alikuwa pamoja na sisi bega kwa bega.
Ndio maana najiona mwenye hatia sana kwa sababu tunapendana kwa dhati.
wasikutishe, beba mizigo amia kwa mumeo....