Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Kubadilika watu wanabadilika tatizo story zako haziendani. Ulikuwa unajiuza mara umeishi na huyo jamaa miaka 11. Haimake sense.
Wewe mwaga tu mchele hadharani na ukikaa vibaya nakuja kuwasaga wewe na huyo bwana wako..
HiiiπŸ€―πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama mnaishi pamoja tatzo huanzia hapo, kuna wengine wamebariki ndoa juz wamekaa uchumba miaka 30. Wana wajukuu sasa, ila yako inanitsha maana hataki hata mpate na watoto, hii ni changamoto sasa.

Vp wazazi wako wanasemaje katika hilo?! Na ww unaonaje!? Maana kisheria mkishaishi miez mitatu mshakuwa mke na mume, muda mwingine tunafanya mambo yawe magumu mnaishi wote kama mke na mume na bado anakuambia ajajipanga mnh! Inafkirisha.
 
Ila mnatuchanganya, kule umesema ulikuwa unajiuza, huku tena.. aargh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…