Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Acha zinaa...
Amka tu siku moja uchukue vyako uende kwenu kama anakuhitaji atakuja kukuoa ila hiyo ni sacrifice maana kama unamtegemea Kuna kukosa maisha hakikisha uko tayari kwa yote
Aende kwao wapi? Alishatuambia alikuwa anajiuza...refer post zake za nyuma
 
Cha kwanza acha kuishi kwa kuigiza mbele yake au mbele za watu.

Ishi free onesha uhalisia wako huenda bado anakusoma, so anapata shida kuamua kwakua hueleweki.

Ila kumbuka kwenye kuishi kwa kunyooka kuna moja kutokea kati ya haya mawili, Kufunga ndoa au kuachwa kabisa.
 
Unapata faida gani Demi?
Kwani mtu akiamua kubadili Id kuna dhambi?
Acha roho mbaya wewe mwanamke.
Mbona mimi sisemi mambo yako jinsi unavyowatongoza wanawake wenzako Pm ukitaka ukawasage? Au nimwage mchele hapa jukwaani?
Kubadilika watu wanabadilika tatizo story zako haziendani. Ulikuwa unajiuza mara umeishi na huyo jamaa miaka 11. Haimake sense.
Wewe mwaga tu mchele hadharani na ukikaa vibaya nakuja kuwasaga wewe na huyo bwana wako..
 

Unafaa kwa Starehe na sio kuolewa, sijui hata Kwa Nini unauliza, kwa kifupi haufai kuwekwa ndani, mwanaume anayeona mwanamke anafaa hachelewi msogeza karibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…