Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,378
WANAUME WALIO OLEWA WATAONEKANA WAKITOA USHAURI HAPAWenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Aloo kumbe ni wewe, hizi nyuzi za uongo uongo huwa zinakusaidia nn??Kuwa na cheti cha ndoa ndani kina raha yake
Basi kumbe jibu liko hapa, mnaishi pamoja kama mke na mume ameshajihalalishia tena anajulikana na kuwasomesha ndugu!!Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Hah nasikiaga aise..au tuunge groupKwangu aje weekend kumbe tunae wa kutupunguzia dhambi, maana cheating ya kuwekwa na dume ni tofauti kabisa na kuwekwa na jike
Mnattumia nini ili usipate mimba?Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Umri wako tafadhaliBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Kama avatar hiyo ni yako, kwa hakika utakuwa unaliwaaaa mpaka utakaposhtuka! Kwa sasa endelea na uchumba tu kugawa na kutumika Kimchumba mchumba tuuuBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Imepita hiyo babe, ngoja Mrs Byesige aunde group tupange mipango vizuriKwangu aje weekend kumbe tunae wa kutupunguzia dhambi, maana cheating ya kuwekwa na dume ni tofauti kabisa na kuwekwa na jike
How ?Anakojoa ndani, ila ndio hivyo kwa tahadhari sana
mgande huyo tena lazimisha ndoa sasaBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa? Kuna dalili ya ndoa kweli hapa? Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema? Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Wameshatibiwa U.T.I yakutosha na wameflash sana mijusiMiaka 11 ๐๐๐๐
Sawasawa our sweet darl๐Imepita hiyo babe, ngoja Mrs Byesige aunde group tupange mipango vizuri