PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Mimi binafsi nilipogundua kwamba mtu niliyempata anafaa kuwa mchumba wangu, basi officially ilianzia hapo, na kitendo cha kwenda kuwaambia wazazi na kuvishana pete ni kuformalize tu jambo hilo.
Masuala ya watu kuvisha pete na halafu kuingia mitini ni utapeli kama ulivyo utapeli katika idara zingine zote.
Masuala ya watu kuvisha pete na halafu kuingia mitini ni utapeli kama ulivyo utapeli katika idara zingine zote.