Uchumba wa kweli kuelekea kuoana unaanzia wapi?

Nauliza swali hili ili nielimishwe.Uchumba unaanzia pale Msichana anapomtambulisha Mchumba wake kwa Wazazi au Mwanaume anapomvisha Msichana pete ya uchumba au vyote kwa pamoja?Mchumba mwenye nia nzuri utamjuaje kwani mwingine anaweza kumvisha pete Msichana na bado asimuoe.Wandugu mnielimishae.

Wakuu nashukuru sana kwa maada hii nzuri kwani itawapa uandani wa wachumba wenu mlionao.

Kikubwa ni kwamba siku hizi hata maana halisia ya uchumba imebadilika utamkuta mtu anauhusiano wa kimapenzi tayari anamtangaza kwa dugu na jama kuwa ni mchumba of which siyo kweli.

Kingine kibaya hata sisi madada tumekuwa na tabia mbaya sana ya kununua weneyewe pete za uchumba ili tuvishwe kitu ambacho hakina maana yoyote na ndo maana asilimia kubwa huwa hawaoani kabisa.

Kingine kuna mazingira huwa tunavishana pete huwa siyo za heshima kabisa mfano mtu anavishwa pete baa au kwenye matamasha ya mzuki au club hivi kweli hata kama mna mapenzi motomoto kweli hapo kuna uhakika kuwa umechumbia au unataka kutumiwa kwa kisingizio hicho?

Kikubwa uchumba siyo kuvishana pete au hauanzi kwa kuvishana pete ila kuna mambo ambayo yanaonekana tu pamoja na pia kwa uzoefu wangu wanaoanza uhusiano kwa kuambiazana kuwa wataona mara nyingi huwa hawaoani ila mtu anafanya hivyo ili kukupata tu.

Niwape mfano mzuri tu kwa upande wangu mimi nilipompata mchumba wangu tufuata utaratibu ambao hata awe kiwembe asingeruka na kunitelekeza kwani ilikuwa hivi siku ya kwanza alitafuta washenga wakuja kujitambulisha kwetu kwa ajili ya kuleta barua ya uchumba na mambo mengine,siku hiyo kulifuatia na kupanga lini watakuja kutoa mahari wakakubaliana hivyo siku ile ya kutoa mahari ndo siku ya yule ndugu yangu kwa mara ya kwanza kujitokeza kwetu na siku hiyo mbele ya washenga wake na wazazi wangu ndipo tulipovishana pete.

sasa kweli hapo kuna mtu atakimbia kweli si atakuwa amebeba laana ya hali ya juu.

hivyo siku hizi kuvishwa pete ya uchumba imekuwa fashion unakuta mtu mumedo mara moja tu tayari anakuzinguwa kwa kusema anakuvisha pete ya uchumba kumbe wizi mtu halafu unakuta mashuhuda niwalewale wakware wenzie kiasi kwamba hata heshima yenyewe ya pete ya uchumba kwa kipindi hiki kimepitwa na wakati.

wakuu ni hayo tu.
 
Mummy kwenye tarehe 28 au 29 hivi kwani hujui mwezi huu.
Alafu Yo Yo anaomba jukwaa letu hili lifungwe hapo unasemaje luv?

Oh kumbe bado sana poa dia. Yo Yo anayoyake si aombe tu kuwa banned kwa muda huo na mods?
 
Wakuu nashukuru sana kwa maada hii nzuri kwani itawapa uandani wa wachumba wenu mlionao.

Kikubwa ni kwamba siku hizi hata maana halisia ya uchumba imebadilika utamkuta mtu anauhusiano wa kimapenzi tayari anamtangaza kwa dugu na jama kuwa ni mchumba of which siyo kweli.

Kingine kibaya hata sisi madada tumekuwa na tabia mbaya sana ya kununua weneyewe pete za uchumba ili tuvishwe kitu ambacho hakina maana yoyote na ndo maana asilimia kubwa huwa hawaoani kabisa.

Kingine kuna mazingira huwa tunavishana pete huwa siyo za heshima kabisa mfano mtu anavishwa pete baa au kwenye matamasha ya mzuki au club hivi kweli hata kama mna mapenzi motomoto kweli hapo kuna uhakika kuwa umechumbia au unataka kutumiwa kwa kisingizio hicho?

Kikubwa uchumba siyo kuvishana pete au hauanzi kwa kuvishana pete ila kuna mambo ambayo yanaonekana tu pamoja na pia kwa uzoefu wangu wanaoanza uhusiano kwa kuambiazana kuwa wataona mara nyingi huwa hawaoani ila mtu anafanya hivyo ili kukupata tu.

Niwape mfano mzuri tu kwa upande wangu mimi nilipompata mchumba wangu tufuata utaratibu ambao hata awe kiwembe asingeruka na kunitelekeza kwani ilikuwa hivi siku ya kwanza alitafuta washenga wakuja kujitambulisha kwetu kwa ajili ya kuleta barua ya uchumba na mambo mengine,siku hiyo kulifuatia na kupanga lini watakuja kutoa mahari wakakubaliana hivyo siku ile ya kutoa mahari ndo siku ya yule ndugu yangu kwa mara ya kwanza kujitokeza kwetu na siku hiyo mbele ya washenga wake na wazazi wangu ndipo tulipovishana pete.

sasa kweli hapo kuna mtu atakimbia kweli si atakuwa amebeba laana ya hali ya juu.

hivyo siku hizi kuvishwa pete ya uchumba imekuwa fashion unakuta mtu mumedo mara moja tu tayari anakuzinguwa kwa kusema anakuvisha pete ya uchumba kumbe wizi mtu halafu unakuta mashuhuda niwalewale wakware wenzie kiasi kwamba hata heshima yenyewe ya pete ya uchumba kwa kipindi hiki kimepitwa na wakati.

wakuu ni hayo tu.

Kumbe uchumba feki mnautengeneza nyie wenyewe.
 
Kingine kibaya hata sisi madada tumekuwa na tabia mbaya sana ya kununua weneyewe pete za uchumba ili tuvishwe kitu ambacho hakina maana yoyote na ndo maana asilimia kubwa huwa hawaoani kabisa.

Kingine kuna mazingira huwa tunavishana pete huwa siyo za heshima kabisa mfano mtu anavishwa pete baa au kwenye matamasha ya mzuki au club hivi kweli hata kama mna mapenzi motomoto kweli hapo kuna uhakika kuwa umechumbia au unataka kutumiwa kwa kisingizio hicho?

Kikubwa uchumba siyo kuvishana pete au hauanzi kwa kuvishana pete ila kuna mambo ambayo yanaonekana tu pamoja na pia kwa uzoefu wangu wanaoanza uhusiano kwa kuambiazana kuwa wataona mara nyingi huwa hawaoani ila mtu anafanya hivyo ili kukupata tu.

Niwape mfano mzuri tu kwa upande wangu mimi nilipompata mchumba wangu tufuata utaratibu ambao hata awe kiwembe asingeruka na kunitelekeza kwani ilikuwa hivi siku ya kwanza alitafuta washenga wakuja kujitambulisha kwetu kwa ajili ya kuleta barua ya uchumba na mambo mengine,siku hiyo kulifuatia na kupanga lini watakuja kutoa mahari wakakubaliana hivyo siku ile ya kutoa mahari ndo siku ya yule ndugu yangu kwa mara ya kwanza kujitokeza kwetu na siku hiyo mbele ya washenga wake na wazazi wangu ndipo tulipovishana pete.

wakuu ni hayo tu.
Hahahah wewe kweli ulijua kumnasa atatorokaje wakati keshalipia? hahhah ila mwali ni bahati tu maana kama alivyosema nyamayao wapo wanaofanya hayo yote na bado zinaota kutu vidoleni
 
Hehehehe mbona umesahau kuuliza kama jamaa alisha anza kumega kabla hawajaenda kwa wazazi? Je ni lazima mchumba amege aonje ladha kwanza?
 
Haya mambo yakumegwa kabla ya kumpeleka kwa wazazi ni subjective sana kutoka mtu mmoja na mtu mwingine.

wala haya hayanauhusiano na uchumba kwa kuwa kuna watu wanamegana kwa kisingizio hicho cha uchumba na wengine wanamegana kwa hiari bila hata makubaliano ya hiari ila kwa upande wangu baada ya jama kuonyesha hiyo commitment nitamnyimaje tena wakati yupo known kwa zote familia mbili.
 
baada ya jama kuonyesha hiyo commitment nitamnyimaje tena wakati yupo known kwa zote familia mbili.

Ohhhhh umeona Nyamayao alivyo sema hapo.
Mi kuna bro. alienda kujitambulisha na kwetu tukajua na kule nako wakajua baada ya kumega jamaa akaja na mpya ooh naona huyu si chaguo langu wkt pete tayari na kila kitu.
 
Ni fedheha kwa washenga tatizo siku hizi mnachukuwana vijana kwenda kujitambulisha eti ndo mnawafanya washenga kwa hiyo hata akirudi nyuma wala haoni aibu.

Hivyo ni tofauti na ilivyotokea kwangu mimi nilichukuwa wazee ambao hata kuwaomba wakuwakilishe lazima uwe umejizatiti kwa kuwa hawataki aibu kama hiyo iliyowakuta kwenu.

Kingine nilikuwa nimemaliziwa hata mshiko jamani hukusoma vizuri hapo juu?

Tatizo ndugu zangu wanajirahisi mno wakaka wasiku hizi ni wajanja sana uspokuwa makini watakudo kwa zamu na wote wanakuja na gia y kukuoa kama nawe ndo kilio chako.

Kwa hiyo wadugu tusiwetunatumia ya kuolewa kwa hawa wakaka watatumaliza na tutamaliza njia zote bila mafanikio.
 
Tatizo ndugu zangu wanajirahisi mno wakaka wasiku hizi ni wajanja sana uspokuwa makini watakudo kwa zamu na wote wanakuja na gia y kukuoa kama nawe ndo kilio chako..

Hehehe ndo tatizo hiloooo jamaa akiomba kumega na yeye anaachia.
Kuna dada mmoja ana mdogo ake alichumbiwa na jamaa ana kazi nzuri sana na ana kila kitu ila bado hajaoa jamaa alimwambia wazi yule dada mtu nataka kumwoa mdogo wako ila mimi kipimo changu ni kimoja tu nacho nikimwomba kumega na akikubali basi huyo hanifai. Basi yule dada mtu ikabidi ampenyezee siri ya jamaa hiyo mdogo mtu huku wakiwa kwenye mahusiano j2 moja akamwita home kwake jamaa mdogo mtu kaaga kwa dada ake kuwa anaenda alimwonya sana jamaa akiomba kumega usimpe atakuacha. Basi yule mdogo kufika kwa jamaa baada ya kufanya kazi zote pale kupika na kila kitu jamaa akomba kumega yule mdogo mtu akavunga vunga baadae akaachia jamaa akamega. Basi tokea hapo jamaa akawa hana time na yule binti na akamfuata dada mtu akamweleza mdogo wako hakuna kitu kigezo kashindwa kwa hiyo mimi basi yule mdogo mtu akawa kaichezea bahati hivi hivi jamaa wanajimegea tu imradi utamke nakuoa basi kwisha kazi utakuwa unajimegemea kama wako.
Tatizo wadada wengi wanashawishika haraka sana ndo maana wanaishia kumegwa tu kila kukicha na kuachwa kwenye mataa hawana msimamo mwanaume yeye anaweza akawa anajaribu bahati yake ya kutaka kumega ndo hapo dada anajikuta katika mtihani mzito huo anaamua kumegwa na kuachwa kwenye mataa.
 
nashukuru mami, nilikumic sana!....wapo kibao wamepelekwa kwa wazazi na bado wakatelekezwa. [/QUOTE]

........... Duh dada hii ya hivi sikujua kama huwezekana yaani hata hawaogopi watu hawa? sasa basi kama ni hivyo hakuna maana ya uchumba na hayo mapete tunavishana mizigo tu kwa kuwa hayathaminiki kabisa siku hizi. Hata hivyo si zinauzwa madukani? hata thamani yake inashuka maana wapo wanaojivalia tu (hata za ndoa) na hawajaolewa wala kuchumbiwa ilimradi nao waonekane wamo kundini!!......

Mimi niligoma kuvikwa pete (nikashutumiwa kuwa nakataa kwa vile bado nafanya window shopping-siko commited!!)........ kwangu mimi siamini katika pete kabisa

haaa mami mbona yapo sana tu, ukivalishwa ucmpe pumzi afike malengo, hizo za kuachana miaka mkidai wachumba ilikuwa enzi za wazee we2, upate mchumba kama Fidel kila cku anaona kipya, unategemea nini?
 
Hahahaha yeah yaani mi nikija kujitambulisha kwenu wewe unawekewa limit ooh sio sasa ndo unajiachia wazazi watakukanya na mimi wataniambia kuwa wewe bado upo katika himaya yao. Sasa hapo mimi ndo nakuwa free kupata mwanya wa kumega si ulisema mpaka nije kwa wazazi nijitambulishe sasa nimekuja. Maswala ya ndoa baadae mama.

MJ1 c unaona niliyokueleza, wachana na kiumbe mwanaume bwana, me ndio mana nateleza nae kama cna akili nzuri.......
 
Back
Top Bottom