Bora umenisaidia kuuliza. Ni
Kiranga na wa kufananaye tu ndio nitamuelewa akisema uchawi haupo.
Kuna makala moja ya Pengo niliikubali, alisema shetani amefanikiwa sana na anatumia tricks kuu mbili.
1: Kuwafanya watu wasiamini kuwa yeye yupo na yu behind evils zote. Kwa njia hii, kinacholaumiwa ni tabia, bad luck, addictions etc. Hivyo vita vinakuwa kwa watu. Point hii T.B.Joshua anasema unapoua mtu kwa kitendo cha kuua au kuiba, unachofanya unaua mwili ilhali ile evil spirit inatoka na kumvaa mwingine. Lkn huyo mtu badala ya kuuawa akifanyiwa deliverance then hiyo spirit inaenda kufungwa kuzimu kiasi kwamba haiwezi muingia mwingine.
2: kitu kingine shetani anachotumia (Pengo) ktk kukamata watu, ni kujitangazia au kuaminisha watu kuwa ana nguvu zaidi. Kiasi cha kuogopwa na kuabudiwa (hapa utakuta wale wanaotafuta power na utajiri wanaingia ktk kundi hili).
Sasa wasomi wengi na wale wakristu wa majina na wakupasha joto viti jumapili huangukia ktk kundi la kwanza. I was in that kundi hilo na my popular kaulis used to be:-
-huyu shetani anasingiziwa
-una roho mbaya kumzidi shetani.
Vitabu vyote vya dini vinazungumzia kuhusu uchawi na ushirikina. Sadaka za damu zifanyazo na waganga ndizo zilizokuwa zinafanywa na wayahudi na ndio Yesu alichokifanya msalabani. Na ndicho tukifanyacho wakatoliki kila siku ya Misa ingawa ni kwa maumbo ya mkate na divai.
Naamini ukiwaelewa washirikina ni rahisi kuwabadilisha na kuwafanya waumini wazuri.
N.B ninauchukia ushirikina na uchawi, anything from dark side. Na zaidi ya utafiti sijaenda kwa mganga na sina chale hata moja. Na my late father alikuwa kwenye kundi la kwanza (haamini uchawi etc, ingawa somehow ninajua wazazi wake waliamini those days)