UCHUMBA vs USHIRIKINA

UCHUMBA vs USHIRIKINA

Yaani ni wasomi wengi sana wako ktk kundi hili. Wanatumia logic and five senses kushughulikia mambo ya rohoni (imani).

Kaunga hawa wasomi wana ona tu aibu kuongea in public exactly what they believe but deep in their heart wanaamini na probably wanaogopa

Mimi mshua wangu (msomi mwenye PhD na several books to his name) alikuwa hakubali uwepo na nguvu za kichawi. Na kafa na msimamo wake huo huo.

Hata kwenye mambo ya dini, alikuwa hivyo hivyo ingawa hapo angalau aliweza kutambua baadhi ya mambo mazuri ya kidini, mfano zile so called amri kumi za mungu (ambazo kwa mujibu wake yeye, baadhi yake zilikuwa applicable katika kumwezesha mtu kuishi maisha ya kiuadilifu).
 
Nafikiri umejibu kuwa you pick what to believe. Cc Kaunga. Angalau kiranga na Ngabu hawaamini Chochote

Yes, I can't believe on everything said or written. Do you?
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh....mtaja mwagiwa na misumu nyie:smile-big:.

Rituals ni subset ya ushirikina.

Sasa baada ya kumwagiwa hayo maji na mbuzi kuchinjwa, hiyo kheri uliipata?

NN kuna vitu unafanya just to go with the flow ya the elders....
 
Yes, I can't believe on everything said or written. Do you?

Hii topic ya ushirikina inaenda na kuamini miujiza pia...je unaamini mfano miujiza ya Yesu kufufua watu those days? Sababu kama huamini haya ni sawa na kusema huamini dini kabisa
 
Yaani ni wasomi wengi sana wako ktk kundi hili. Wanatumia logic and five senses kushughulikia mambo ya rohoni (imani).

Inawezekana labda ndo maana wamisionari waliweza kupenyeza dini zao kwenye jamii zetu kwa sababu mababu na mabibi zetu walikuwa hawatumii five senses kuhoji.

They totaly believe that ilikuwa marufuku kuhoji waliokuwa wanafundisha bse yalikuwa mambo ya rohoni.

Hata leo unakuta Watanzania wengi badala ya kudeal na matatizo yao wanakaa kitako doing nothing huku wakiwa na imani Mungu wanayemwamini atashuka huko aliko na kuyaondoa matatizo yote.

Anyway, kama unasoma Bibilia kama kitabu chenye mambo ya kiroho au imani then you are not entitled to reason what is written therein.

Pia one may say that you would not be entitled to reason kilichoandikwa kwenye Kurani bse nacho ni kitabu cha ya kiroho au imani kinachoaminiwa na jirani yako. Si unatakiwa umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe?
 
ngumu mno, kubeba kila andiko kama lilivyo bila julitafakari.

Bottom line ushirikina ni useless.

Pia one may say that you would not be entitled to reason kilichoandikwa kwenye Kurani bse nacho ni kitabu cha ya kiroho au imani kinachoaminiwa na jirani yako. Si unatakiwa umpende jirani yako kamj unavyojipenda wewe mwenyewe?
 
Hii topic ya ushirikina inaenda na kuamini miujiza pia...je unaamini mfano miujiza ya Yesu kufufua watu those days? Sababu kama huamini haya ni sawa na kusema huamini dini kabisa

Kwani mtu anatakiwa awe na dini ili aweze kuamini kuwa Yesu alifufua watu?
 
Kaunga unajuaje mtu ni mkristu jina au mpasha kiti jumapili?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga unajuaje mtu ni mkristu jina au mpasha kiti jumapili?
Najijua nilivyokuwa naenda kanisani kwa kutimiza wajibu. 99% nilikuwa nje kimawazo, najijua sasa ambapo ninashiriki ibada yote, nikitoka nje labda kwa 15%. Naenda si kwasababu ya kulazimika, lkn naenda kwa imani. The likes of wapo wa kutosha tu. Sio tu baada ya kutoka kanisani ukiwauliza theme ya leo ni nini lkn hata hawakumbuki masomo say muinjili na wala si mistari.
Sijazungumzia ambao anatoka kama alivyoingia, yaani hajajengeka au hata kupata amani ambayo unapopokea sakrament unapaswa kuipata. Again, reference ni mimi na assumption wa kama mimi wapo.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mtu anatakiwa awe na dini ili aweze kuamini kuwa Yesu alifufua watu?
So unatumia nini macho kusoma biblia (history). Unatofautishaje na hadithi za alfu lela ulela?
 
ngumu mno, kubeba kila andiko kama lilivyo bila julitafakari.

Bottom line ushirikina ni useless.

Sawa maybe you are right. Sasa kuna vitu ambavyo ni vya msingi kama uwepo wa evil (shetani) na good (Mungu). Unless huamini kama kuna shetani na uwezo wake basi imani yako ya Mungu ni bure. Uchawi ni moja ya kazi za shetani kama ilivyo wizi, uongo, uuaji.

Sijaelewa unavyosema ushirikina ni useless una maanisha nini. Kwamba hauna effect, (refer mauaji ya albino), au hauna matunda (shetani anaweza toa utajiri ingawa anachukua kitu kilicho na thamani zaidi, ref: alivyomwambia Yesu "nitakupa milki zote za duniani iwapo utanisujudia") au?

Kwa mtazamo wangu, ushirikina upo, unaua, angamiza na kufarakanisha. Pia una madhara makubwa kuliko faida. Angalia wote wakiotajirika sio kwa ushirikina tu, bali hata kwa unyang'anyi na ufisadi. Mara karibu na zote hawana amani moyoni na furaha ya kweli. Kwa mtu wa nje ukimuona John na utajiri wake waweza muonea wivu lkn akiwa honest na kukufunulia yaliyo moyoni utamuonea huruma. Ndio maana watu wanajiua, wanaishia kwenye ulevi wa kupindukia au wanaenda kwa madawa ya kulevya.

Je nauogopa ushirikina? BIG NO
Kwani niliye naye ni mkubwa kuliko baba wa ushirikina.
 
Inawezekana labda ndo maana wamisionari waliweza kupenyeza dini zao kwenye jamii zetu kwa sababu mababu na mabibi zetu walikuwa hawatumii five senses kuhoji.

They totaly believe that ilikuwa marufuku kuhoji waliokuwa wanafundisha bse yalikuwa mambo ya rohoni.

Hata leo unakuta Watanzania wengi badala ya kudeal na matatizo yao wanakaa kitako doing nothing huku wakiwa na imani Mungu wanayemwamini atashuka huko aliko na kuyaondoa matatizo yote.

Anyway, kama unasoma Bibilia kama kitabu chenye mambo ya kiroho au imani then you are not entitled to reason what is written therein.

Pia one may say that you would not be entitled to reason kilichoandikwa kwenye Kurani bse nacho ni kitabu cha ya kiroho au imani kinachoaminiwa na jirani yako. Si unatakiwa umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe?

Nafikiri unaongeza chumvi unaposema watanzania wamekaa badala ya kushughulikia matatizo yao. Nigeria ni nchi ya imani (IMO) kuliko Tanzania. Tanzania is full of vuguvugu people, lkn niambie mbona wanigeria wako aggressive ktk kushughulikia mambo yao. Kwa mnigeria anapozaliwa tu tayari anakuwa introduced to some gods, iwe Judeo Christian God, Allah au oracle/family idol.

Kuhusu kureason, kwa mkristu ni kifunuliwa na Roho Mtakatifu yale ambayo wenye hekima walifichwa wakafunuliwa watoto wachanga. Reasoning ya logic mara nyingi haileti Kweli ya Mwenyezi Mungu, na ndio maana, pamoja na Yesu kukaa na mitume wake kwa miaka 3 akiwafundishe aliwaambia wakae ndani kwanza mpaka atakapowaletea Roho Mtakatifu atakayewapa nguvu, maarifa, elimu, hekima etc. Na ukisoma Matendo ya Mitume; utaona jinsi mambo yaliyokuwa yanaflow. Imagine no you don't maana technolojia tayari; mtu anaongea kinyamwezi mkorea anasikia kwa lugha yake.

Turudi nyuma, nipe mfano wa nini watanzania wameshindwa kufanya wakaishia kusali tu na niambie walipaswa kufanya nini kwa mfano.
 
Hili swala ni gumu sana hasa inapokuwa tayari ndoa imefungwa......
 
So unatumia nini macho kusoma biblia (history). Unatofautishaje na hadithi za alfu lela ulela?

Niliposoma Bible kwenye Divinity nilisoma kama nilivyosoma kitabu cha History cha How Europe Underdeveloped Africa.

Nakumbuka hata mwalimu wa Divinity ambaye alikuwa ni mchungaji alituasa kuwa kama tunataka tujue na kuuliza maswali kuhusu Bibilia then bora kuichukulia Bibilia kama kitabu kingine.

Inawezekana labda kusoma Divinity kumenifanya nisiwe too religious na kutaka kuhoji au kupata ufafanuzi wa baadhi ya mambo ambayo niliyasoma kwenye Bibilia.
 
Point ni kuwa mtu akirogwa hawezi hata kujijua....so Unaweza sema aje mtu aniroge kumbe Tayari usharogwa
Daaa hapo kwenye mstari inawezekana kabisa maana kuna wengine wanarogwa hawajijui mpaka waambiwe.
 
Niliposoma Bible kwenye Divinity nilisoma kama nilivyosoma kitabu cha History cha How Europe Underdeveloped Africa.

Nakumbuka hata mwalimu wa Divinity ambaye alikuwa ni mchungaji alituasa kuwa kama tunataka tujue na kuuliza maswali kuhusu Bibilia then bora kuichukulia Bibilia kama kitabu kingine.

Inawezekana labda kusoma Divinity kumenifanya nisiwe too religious na kutaka kuhoji au kupata ufafanuzi wa baadhi ya mambo ambayo niliyasoma kwenye Bibilia.
Lakini ulikuwa na unaamini yaliyo andikwa kwenye hivyo vitabu?
 
Kwani mtu anatakiwa awe na dini ili aweze kuamini kuwa Yesu alifufua watu?
Utaamini vipi haya nje ya dini?Pamoja na kusoma divinity kama kitabu cha history ina maana ulikuwa uhisi hisia zozote za kidini kwenye hilo somo?
 
Kaunga, Mungu, shetani ni vitu ambavyo mtu anajijengea tafsiri(picha) yake kichwani kulingana na ukomavu wake wa mambo ya imani.

Ndio maana mie naamini kabisa, kutumia msahafu mmoja hakufanyi watu wawe na imani ya kufanana.

Na ukienda mbele zaidi kwenye nafasi ya shetani na athari zake, hapo ndo kazi zaidi.

Uchawi ni useless kwa maana ya hauleti utajiri wala chochote, ila unaaminishwa hivyo.Hii inatokana na mazingira ya makuzi ndio maana mtu anahisi utajiri waweza kuletwa na ushirikina. Ni kisaikolojia zaidin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom