OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
You have every reason to hate me. Can you believe nimeandika hapo juu kabla sijakusoma?
Ndo ushirikina wenyewe sasa!!!!!!
You have every reason to hate me. Can you believe nimeandika hapo juu kabla sijakusoma?
Indeed. If God exits, then believing in him, might be something minimal.
I would think that God would call upon his people to do something radical that exceeds the mere believing in him or in his work.
I would think that God would call upon his people to actually believe him about each and everything.
Ndo ushirikina wenyewe sasa!!!!!!
katika vitu ambavyo watanzania ni wanafiki wakubwa ni ushirikina
tafiti imesema asilimia 93 but kla mtu anawanyooshea wengine vidole kwa ushirikina...
as if wengi hawahusiki.......
ushauri wangu jizuie kuhukumu atu kwa ushirikina sababu utajikuta unahukumu kila mtu unae kutana nae in your life
cc EMT
You have every reason to hate me. Can you believe nimeandika hapo juu kabla sijakusoma?
Bora umenisaidia kuuliza. Ni Kiranga na wa kufananaye tu ndio nitamuelewa akisema uchawi haupo.sorry to ask you this wewe una dini unaiamini?
sababu dini zote zinasema ushirikina ni kitu real....na kipo...
huwa sielewi ni vipi mtu aseme anaamini mungu sana na ana dini yake anaiamini
at the same time huyo mtu aseme 'uchawi' hakuna.....au uchawi sio kitu real...
hapo huwa naona kama mtu ana pick what to believe and what not to believe
halafu anajiita muumini wa dini fulani,while dini inataka uamini every things unavyo hubiriwa...
sorry to ask you this wewe una dini unaiamini?
sababu dini zote zinasema ushirikina ni kitu real....na kipo...
huwa sielewi ni vipi mtu aseme anaamini mungu sana na ana dini yake anaiamini
at the same time huyo mtu aseme 'uchawi' hakuna.....au uchawi sio kitu real...
hapo huwa naona kama mtu ana pick what to believe and what not to believe
halafu anajiita muumini wa dini fulani,while dini inataka uamini every things unavyo hubiriwa...
Nafikiri umejibu kuwa you pick what to believe. Cc Kaunga. Angalau kiranga na Ngabu hawaamini ChochoteThe fact kuwa nina dini ni..nayoiamini haina maana kuwa naamini each and everything kinachofundishwa/fanywa na hiyo dini.
Kuna wachawi humu JF?
Maana nataka ku-renew tena offer yangu kwa atakayefanikiwa kuniroga.....
Nahisi OLESAIDIMU keshakuroga aisee lol
Bossman ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji, iwe kwa ridhaa yako au la?
Keshaniroga kivipi Bossman?
Nafikiri umejibu kuwa you pick what to believe. Cc Kaunga. Angalau kiranga na Ngabu hawaamini Chochote
Point ni kuwa mtu akirogwa hawezi hata kujijua....so Unaweza sema aje mtu aniroge kumbe Tayari usharogwa
Yaani ni wasomi wengi sana wako ktk kundi hili. Wanatumia logic and five senses kushughulikia mambo ya rohoni (imani).
Nimewahi kumwagiwa maji na mbuzi akachinjwa mkoani village...tambiko la kunitakia kheri mjini ..sijui huo ni ushirikina au rituals tu...