TATA PANYA
Member
- Jul 26, 2013
- 54
- 8
Ukigundua familia ya mchumba wako ina mambo ya kishirikina Utavunja uchumba!?
mmmh
sijui ntafanyaje
Ukigundua familia ya mchumba wako ina mambo ya kishirikina Utavunja uchumba!?
suluhisha ni kuwabadili kutoka kwenye mawazo yao ya nguvu za giza na kuwaweka kwenye right path.
Heri hata ugundue wakati wa uchumba, kuna wengine wanagundua wakiwa wameshafungishwa pingu za maisha kabisa!
aisee nikigundua hiyo kitu sitaangalia mambo ya mapenzi tena, Muda wowote naweza ingiliwa, kama si mimi, basi ni mtoto wangu ama mke wangu...
Ushirikina, usikieni tu ukiwa na herufi zake.. ukikukuta kama hauna damu ya Yesu, basi ni majanga!
Huo uchumba bora ufe tu!
Well said....
Ofcourse yes. naweza kum'badilisha mchumba/mke wangu lakini sitoweza kuwabadi ndugu zake. It is not necessary kuwabadili ndugu zake kwasababu na wao wana maisha yao, hayanihusu.We unaweza kufanya ulichosema??!!
Ukigundua familia ya mchumba wako ina mambo ya kishirikina Utavunja uchumba!?
katika vitu ambavyo watanzania ni wanafiki wakubwa ni ushirikina
tafiti imesema asilimia 93 but kla mtu anawanyooshea wengine vidole kwa ushirikina...
as if wengi hawahusiki.......
ushauri wangu jizuie kuhukumu atu kwa ushirikina sababu utajikuta unahukumu kila mtu unae kutana nae in your life
cc EMT
Inategemea. Kama na yeye anaamini kwenye mambo ya kishirikina na hataki kuacha hapo kutakuwa hakuna jinsi.
Lakini kama familia yake ina mambo ya kishirikina lakini yeye hana then hapo hakutakuwa na tatizo. Hapo sitaweza kumhukumu.
I hate ushirikina. I don't believe in those stuff and never will.
Ukigundua familia ya mchumba wako ina mambo ya kishirikina Utavunja uchumba!?[/
je mchumba wko nae ni mchawi? probably haju kama kwa ni wachawi, fuailia uwe na uhakika isije kuwa uzushi tu. ushaur wangu mkeo anatoka kwa bwana fanya maombi utaonyeshwa mke sahihi