Ndo matatizo ya kusema nataka kama fulani hayaUkute mwenzie kasubiri ndoa na alikua anaipigia picha ndoa flani hiviii halafu Leo umwambie hamna sherehe weeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mke hapo, yaani jamaa yako kusoma hajui hata picha haoni??? Ndoa ni zaidi ya hayo makelele ya sherehe
Ndege wafananao huruka pamoja...sidhani Kama angewahi hata kuota kuniambia Mimi hivyoKuna dada mmoja hua anamwambia mchumba wake tukioana nataka uniagizie gauni la harusi nje ya nchi, sitaki la kukodi ama kununua humu humu nataka la kwangu na uniagizie Italy au UK [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi alishindwa vigezo na mashartiAlijua kabisa maana ilishapita ya kwanza akalilia nikamwelezea kuwa sipend na hainahaja ya party nikamwambia tuta toka diner na ikaisha
Sasa iliofata ikawa kero yan akaanza kufananisha mahusiano ya wengine na yetu kuwa mbona wakina nan walifanya sijui wakina walifanya ahhh nikamwambia kwendraaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahhahaahha woiiiiiKuna dada mmoja hua anamwambia mchumba wake tukioana nataka uniagizie gauni la harusi nje ya nchi, sitaki la kukodi ama kununua humu humu nataka la kwangu na uniagizie Italy au UK [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3]Mkuu kwani Bi harusi wengi si ndio wanakua wake au?Mwambie mshkaj wako huyo shemeji yenu ni bi harusi sio mke....
Usawa huu upewe milion kadhaa za kuanzia maisha na kutofanya harusi bora nisifanye tu
Huyo binti anaijua harusi? au anataka sherehe ya ndoa? Kuna harusi Siku hizi?Wasalaam
Iko hivi ...Ni rafiki wa karibu wa familia yetu,ameajiriwa na taasisi ya fedha mwaka wa tatu huu Yuko kwenye mahusiano na mdada waliekutana chuo...Ni muda kiasi tunamuita shemeji yetu
Jamaa anataka kutoa mahari,lakini mwanamke amegoma anasema mpaka jamaa akubali sharti la kufanyika harusi
Familia ya jamaa yetu,Ni watu wenye uwezo wao kiasi,ila mzee wao Ni mtu wa kuchukia Sana Sherehe na harusi,anasema atachangia misiba na majanga mengine sio mambo ambayo mtu anayapanga mwenyewe halafu anasumbua watu kwa michango,ndivyo anavyishi
Dada za mshikaji wameozwa Tena kwa mahari ndogo,harusi hakuhudhuria,ila baada ya hapo aliwapa kiasi Fulani (kikubwa) Kama Cha kuanzia maisha,imekua utaratibu wake
Na mwaka Jana Kaka yake mshikaji kaoa kwa mtindo huo huo...alienda half day jmos...akatoka kuwaambia staff wenzie naenda funga ndoa ,hawakuamini,lakini jamaa alifunya ndoa,na home walikuja watu wachache tuu kwa ajili ya evening dinner
Jamaa anasema sio kuwa Hana uwezo,ila Ni namna Anaona atamhuzunisha mzee wake ..mzee wake kamwambia mikosi na mambo ya shetani huanzia kwenye tafrija/Sherehe...anasema Ni kujikweza...jamaa atanye Nini tukivaa viatu vyake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kuna watu huwa wanakua kwenye harusi maisha yao yote, ila mke ahaa fasta tu unamuona
Mapenzi upofu mkuu usiseme hivyo hahahaaaaNdege wafananao huruka pamoja...sidhani Kama angewahi hata kuota kuniambia Mimi hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohhh!!! Ndo hivyo mkuu
Hio familia ningeolewa mimi
sipendi sherehe nikiwa kama mimi ndie mlengwa sipendi kabisa.
-kujaza jaza mawatu kibao yote yanakutazama siwezi kwakweli
-kila mualikwa camera man nachukia hili jambo mno
watu mmealikwa kaeni tulieni
-waalikwa muda wote wanachat[emoji3]
Tukikusanyana familia zetu mbili tukaenda hotelini tukala dinner imetoka hio wazee wangu wanachukia hii kitu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka njooo usome ushauri wa bure kabisa na ufanyie kazihuyo mke hafai.. atakuja kumsumbua mbeleni..
wanawake wengi wenye tabia za kupenda harusi kubwa ni wapenda show offs na hata bikira huwa hawana maana waliipoteza kwenye show off za chips mayai ujanani
hapo anakomalia harusi ya gharama ili mashost na maex wake awakomeshe kwa photoshoots za harusi.. hawazi hata mtakula nini mbeleni
Hapana Mkuu kujiendekeza...Kuna muda unajikuta ume act upumbavu kweli,lakini ukigundua ...fasta unacorrect mistake na kujiapiza kutokua coward tenaMapenzi upofu mkuu usiseme hivyo hahahaaaa