Uchu wa "IKULU" waiweka mashakani "KESHO" ya CHADEMA

Mwambie aliyekutuma kuwa ujumbe umefika ila ni ujinga mtupu lowasa kuja chadema ni neema na dr mihogo anajua. Angegombea urahis mpaka sasa hivi tungekuwa na wabunge 5 bungeni. Wewe kama unataka kujua ukweli muulize kuwa lowasa ni asset au liability? Heshima lowasa aliyonayo popote alipo haina mifano sio zile heshima za kulazimisha kutii amri huu ndo ukweli ukitaka meza au tema! Hata hapa jf lowasa lumumba fc anawapaisha akili mfano mzuri uzi ukitaja lowasa mnavyokurupuka siwezi elezea mpaka mnaacha kazi zenu kuja kumjadili lowasa uoni kazi mnayo???fanyeni yenu achana cdm. Mbowe ni no nyingine hakurupiki kama mlivyozoea.
Sasa hapa sijui nani katumwa
 
vyote ni hatari hakuna chenye afadhari, maana aliye na uchu hutumia njia yoyote ili kuingia madarakani kama afanyavyo asiyetaka kutoka madarakani

Mkuu, naomba nikutegulie fumbo: "Uchu" ni kitu positive kwa chama chochote cha siasa, kwa vile vyama vyote vya siasa vina lengo kuu moja tu, yaani kushika madaraka ya kuongoza dola. Hatari zaidi hapa ni Kung'ang'ania madarakani, kwani siasa ni ushindani wa sera, unaposhindwa kushawishi kwa sera zako, ni lazima ukubali kushindwa.
 
Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa unapozungumza juu ya mafanikio ya CHADEMA huwezi kukwepa kuwataja watu wafuatao: Mbowe, Prof. Safari, Salum Mwalimu, Tundu Lissu, Zito Kabwe, Dr. Slaa, John Mnyika, Halima Mdee, Mch. Msigwa n.k

“UCHU” huu ulianzia mbali, kutoka kwa Zitto Kabwe na genge lake, Zitto hakujali madhara yanayoweza kukikumba Chama bali alielekeza macho kwenye kiti cha yule dikt… wa pale chamani ambaye hajawahi ruhusu uchaguzi huru na wa haki wa hiyo nafasi kwa kisingizio cha wazee wa chama wananitaka mimi. Hii ikapelekea Zito na genge lake kutimuliwa chamani na kukiacha chama kikipita katika wakati mgumu.

Kabla maumivu ya Zito hayajaisha, Mbowe akampokea Lowasa bila maridhiano na wenzake. Mbowe alikuwa tayari kufanya lolote kumpokea Lowasa hata kama ni kwa gharama ya kuwapoteza watu maarufu waliokisaidia Chama kufika mahali kimefika.

Leo “IKULU” imekosekana na “KESHO” chama imekosekana, maana morali ya baadhi ya watu waliokifikisha Chama kwenye KEKI YA MAFANIKIO imeanza kushuka.

MBOWE bado hujachelewa ni wakati muafaka sasa wa wewe kumchinjia Lowasa Baharini na Kuwaangukia wenzako na kuuomba radhi UMMA WA CHADEMA na kujiuzuru ili kuruhusu waliondoka kurudi na waliokufa mioyo kufufuka upya ili kurudisha imani kwa watanzania.
hatuna sukari, hatuna mafuta, hatuna madawati, hatuna maji safi, we unaleta ngonjera za kipuuzi, peleka upuuzi wako Lumumba kwa nape na olesemdeka
 
HUENDAsiku CKU zijazo ACT watajiunga na UKAWA.. . Zitto tutamrudisha kimiani
 
Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa unapozungumza juu ya mafanikio ya CHADEMA huwezi kukwepa kuwataja watu wafuatao: Mbowe, Prof. Safari, Salum Mwalimu, Tundu Lissu, Zito Kabwe, Dr. Slaa, John Mnyika, Halima Mdee, Mch. Msigwa n.k

“UCHU” huu ulianzia mbali, kutoka kwa Zitto Kabwe na genge lake, Zitto hakujali madhara yanayoweza kukikumba Chama bali alielekeza macho kwenye kiti cha yule dikt… wa pale chamani ambaye hajawahi ruhusu uchaguzi huru na wa haki wa hiyo nafasi kwa kisingizio cha wazee wa chama wananitaka mimi. Hii ikapelekea Zito na genge lake kutimuliwa chamani na kukiacha chama kikipita katika wakati mgumu.

Kabla maumivu ya Zito hayajaisha, Mbowe akampokea Lowasa bila maridhiano na wenzake. Mbowe alikuwa tayari kufanya lolote kumpokea Lowasa hata kama ni kwa gharama ya kuwapoteza watu maarufu waliokisaidia Chama kufika mahali kimefika.

Leo “IKULU” imekosekana na “KESHO” chama imekosekana, maana morali ya baadhi ya watu waliokifikisha Chama kwenye KEKI YA MAFANIKIO imeanza kushuka.

MBOWE bado hujachelewa ni wakati muafaka sasa wa wewe kumchinjia Lowasa Baharini na Kuwaangukia wenzako na kuuomba radhi UMMA WA CHADEMA na kujiuzuru ili kuruhusu waliondoka kurudi na waliokufa mioyo kufufuka upya ili kurudisha imani kwa watanzania.

bora uchu kuliko ulafi
 
Huna akili wewe mtoa mada, unamuacha dikteta wa Lumumba anayeua watu unaongea pumba!
 
damn it, Mkapa was right to call u nyumbus, unaambiwa what is happening to that shit hole saccoss unaleta hapa charlatan accusations,, unaweza kuprove ujinga wako hapa? amemuua nyanya yako?
 
Mbona njia ya kwenda Ikulu sasa imekuwa nyeupe zaidi hata kama Hashimu Rungwe atataka kwani matokeo ya hawa Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ambao wametokea kwenye u Hotel Manager, Ma DAS ambao hawajui hata mfumo wa serikali ukoje watakapo fanya kazi kwa miaka miwili tuu na nchi ikawa upside down yatakapo onekana.
Shida za maji, Elimu, Afya sasa zitakosa utatuzi kabisa na chuki ya wananchi itakuwa kubwa haijapata kuonekana kwa serikali ya nchi hii tokea uhuru.
Kwenye kura hata nafasi ya kuiba haita patikana kwani tofauti itakuwa kubwa mno. Labda utumike utaratibu kama ule wa Amin.
Jee hao hao vijana wasomi, wakiweza kujitahidi na kuleta mafaniko mazuri, na wananchi wakayafurahiya. Itakuwajee
 
Nakuuga mkono %zote. Watu wanafikiri hatuipendi chadema, mbowe au lowasa, hapana. Tuliona hiki chama ni mbadala wa ccm iliyokuwa imejichokea, chadema yetu tuliyoiamini siyo hii. Muda wetu umepotea bure matumaini yetu yameyeyuka. TUTAANZA UPYA na watu na watu wakweli siyo Mbowe
Nyie ni waongo na wanafiki, Hebu muangalieni Ndugu Zitto ni mtu mwenye msimamo, amefukuzwa chadema, CCM walimtaka kwa bei yoyote na CUF walikuwa tayari kumpa nyadhifa aitakayo, lakini aliamua unaanza ABC kwa kujitibu, ma nyie wapenzi wa mabadiliko hamkumuunga mkono bali mlimtukana hata mazishi ya mama yake Mlisusiya Marehemu alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema.

Chadema haitaweza kuepuka na Laana za akina Chacha, Slaa, Zitto na ujangili wanaofanyiwa viongozi wenu wanaotoka ukanda tofauti na KiLiAru ama AruKil
 
Kansa ya Lowasa iliyoitafuna CCM hatimaye imetibiwa. Kansa hiyo sasa imehamia CHADEMA
Ndugu cancer haiambukizi, huyu LOWASSA ni ugonjwa wa UKIMWI , wote aliowaambukiza ndani ya ccm weshakufa ama wako hoi vitandani. Naona sasa ni zamu yenu, na tena havai condom
 
Nyie ni waongo na wanafiki, Hebu muangalieni Ndugu Zitto ni mtu mwenye msimamo, amefukuzwa chadema, CCM walimtaka kwa bei yoyote na CUF walikuwa tayari kumpa nyadhifa aitakayo, lakini aliamua unaanza ABC kwa kujitibu, ma nyie wapenzi wa mabadiliko hamkumuunga mkono bali mlimtukana hata mazishi ya mama yake Mlisusiya Marehemu alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema.

Chadema haitaweza kuepuka na Laana za akina Chacha, Slaa, Zitto na ujangili wanaofanyiwa viongozi wenu wanaotoka ukanda tofauti na KiLiAru ama AruKil
Hili la kumsusia mama yake Zitto lilikuwa jambo baya sana
 
Kwa jinsi hiyo inajidhihilisha wazi kuwa Mbowe ni threat kubwa sana kwa ccm.Kila cku ccm mnakesha mkiomba ili utokee muujiza wa Mbowe kuacha uenyekiti wa chama ili mfanye yenu.CDM wanahitaji Mwenyekiti asiyenunulika kama Mbowe.
CCM endeleeni kusubili embe chini ya mnazi.Yaani mnachokifanya ni kama WaTZ wasiojielewa wanavyosubiria Maendeleo chini ya CCM.Kitu ambacho hakiwezi kutokea kabiiisa.
 
Wewe ni mmoja wa wanaCCM wasiojua lolote zaidi ya ushabiki tuu, Hivi hata kwa akiri yako tu hiyo ndogo uliyonayo ni nani alikuambia kuwa KANSA inaambukizwa??????.
Kansa ya Lowasa iliyoitafuna CCM hatimaye imetibiwa. Kansa hiyo sasa imehamia CHADEMA
 
ikulu tamu
maana wengine wanapiga hadi risasi..
miaka 54 bado wanatumia hadi plliccm ili wasing'oke
 
Back
Top Bottom