Uchoyo uwo!

Uchoyo uwo!

Subiri waje wanaogawa kama pipi watakukalibisha.
 
Fafanua mkubwa huo UCHOYO wa type gani !
Hivi unafahamu kuna mavitu/malaji mengine hayana KUKARIBISHANA ?
na malaji hayo Respect yake ya kuyala ni UCHOYO?
KITUMBUA NILACHO mie JUDGEMENT nikukaribisheje wewe ?
Wakati mi mwenyewe HAKINISHIBISHI ndiyo maana nakila kila siku na bado HAKIPUNGUI Volume
Quality
Quantitiy
 
Mbona nimekukaribisha sebuleni jamani? au unataka nikukaribishe hadi chumbani?
 
Asante sana wakuu, nilikuwa nimepotea kwa mda 7bu ya majukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom