Sio huu ule ni story ya maisha ya jamaa anaelezea safari ya maisha yake mpaka kupata ajari akiwa anatokea chuo siku ya ijumaa akiwa anaenda Arusha mjini alipanda gari aina ya pick iliendeshwa na mwanafunzi mwezie mlevi alikuwa nautafuta uwo uzi jina limenitoka ni mrefu sana...
Ata jukwaa unakumbuka ulikua jukwaa gani?Sio huu ule ni story ya maisha ya jamaa anaelezea safari ya maisha yake mpaka kupata ajari akiwa anatokea chuo siku ya ijumaa akiwa anaenda Arusha mjini alipanda gari aina ya pick iliendeshwa na mwanafunzi mwezie mlevi alikuwa nautafuta uwo uzi jina limenitoka ni mrefu sana...
Hii story niliiona humu na YouTube ipo kuna mtu alimuhoji hadi maisha yake ya sasaSio huu ule ni story ya maisha ya jamaa anaelezea safari ya maisha yake mpaka kupata ajari akiwa anatokea chuo siku ya ijumaa akiwa anaenda Arusha mjini alipanda gari aina ya pick iliendeshwa na mwanafunzi mwezie mlevi alikuwa nautafuta uwo uzi jina limenitoka ni mrefu sana...