Uchomaji wa kadi za CCM

Tangu lini operesheni yoyote iliyosimamiwa na mama wa nyumbani ikawa na tija hapa nchini. Tafadhali taja moja tu!
 

Watu kama nyinyi mlio kwenye nchi ya fursa, mnapojaribu kuona mazingira yenu huko ni kama huku nyumbani mnatia hasira sana.

Wewe umeona hata waraka waliondikiwa mababa, lakini wajitia upofu.

Huoni hata watu wanavyolalamika mitaaani?

Huoni majira yetu yalivyoacha desturi yake? Mabadiliko hayo huyaoni?

Hujui kwamba zaidi ya 75% ya watanzania tunategemea majira haya kwa kilimo?

Huoni ukame unavyolikumba taifa letu mpaka watumishi wanaomba maombi yasikome kwa ajili ya haya.

Watu kama nyinyi mlitakiwa muuonje huu uhalisia ili kuujua vizuri, japo haiwezekani, msidhihaki wengine.

Ni bahati kwako nchi ilishatumia rasilimali nyingi kukufanya uone, lakini umekataa kuona.

Unadhulumu wengine.
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko

Sasa hivi wana kaupepo ka Njaa
Baada ya Saa8
Nako katapotea

Awamu hii Kick zitafukuliwa mpaka wachoke wenyewe
Jamaa ndio habadiliki kabisaa
!!
Yaani ngoma wapige wao
Nakuicheza wao!!!
MAGU KAZA KAZA BABA
 
Yeye Mungu alete mvua au ukame!!
Ukame unahusiana vipi na kadi za Ccm!!

Mtuambie mmechoma kadi ngapi!!?
 
Naona Mange kawaweka mahali wenyewe ,mpaka.mmetuma mshenga,Kai mnayo.Card za Chama Cha Majangili bado zinachomwa..
 
Kadi zinachomwa kila siku kimya kimya kuepuka uchochezi , tukiweka ukweli , ni AIBU KUBWA SANA KUONYESHA KADI YA CCM HADHARANI , hata walio nazo wanazificha .
 
Nyama hakuna kwenye mabucha?

Magengeni mboga hakuna?

Wewe umeshinda njaa leo?
 
Tena wengine na mijitambi


You need to take a lesson on logic, bro. Mimi mwenywe nina kitambi na nimetoka kushindilia mlo mwingine wa ukweli lakini najua mtaani na kijijini kwangu wapo wengi tu wenye njaa.
 
Nyama hakuna kwenye mabucha?

Magengeni mboga hakuna?

Wewe umeshinda njaa leo?
Haha mkuu makasuku wengi sana nchi hii, jana nikaamua kutembelea genge la mnazi wa upande ule, nikanunua mahitaji yangu nikamuuliza mdau, " njaa IPO?" Akaniambia ipo mkuu! Hapo anauza mahitaji kipimo zaidi ya mwaka Jana kwa bei nafuu zaidi! Nikaconclude tu kua hizi ni siasa!
 
Hahaha!!! Sasa hivi zinachomwa za.chadema uwongo umezidi ben yupo wapi,dola mill 15 za wafadhili zipo wapi .

Mkuu;
Mbona jambo la Ben lina kuuma sana?? Sidhani ka raia mwenye akili atawauliza CDM, watu hao wana nini cha kufanya?? Serekali ndio tuishangae, ina dola, nguvu na resorses zoote za kumpata Ben. Hata kama CDM ndo waliompoteza unataka kusema kuwa hao ni wakuu kuliko Serekali?? Acheni kupoteza mawazo mtiririko. Fedha za wafadhili ni nani aziulize?? Endeleeni kujifariji ila kuna siku, ukweli utadhihirika tu
 
Badala ya kuhangaikia mambo ya msingi kama kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa Katiba inayoendana na mazingira ya siasa za vyama vingi na mabadiliko ya kiuchumi, wanachofanya kwa sasa ni kusubiri Rais Magufuli amesema nini halafu wanaanza kupiga kelele.

Mtu wa kijijini ukimwambia tu kuwa Rais ni dikteta bila kumwelimisha udikteta wake unaathiri vipi maisha yake. Watu wa kijijini hawawezi kuwaelewa hasa wanapoona viongozi wezi na wala rushwa wanafukuzwa kazi mara moja kwa sababu ya ruswa na wizi wa mali ya umma.

Hili la njaa linachekesha kweli.

Unakuta mtu anapiga kelele kwenye mkutano akisema kuna baa la njaa wakati amesimama kwenye magunia ya mahindi kama jukwaa/meza wakati anahutubia mkutano.
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Mbona unauliza na kujijibu? Mara hujui zoezi lilikoishia then unahitimisha kalikua kaupepo!!!
 
As if kafulila ndio anayetawala hali ya hewa!

Hali ya njaa ilishatabiriwa na Shirika la Chakula duniani (FAO), tangu Julai 28, 2016 kwamba ukanda wa Kusini mwa Afrika utakabiliwa na njaa kuanzia mwishoni mwa Desemba hadi Machi 2017 na huenda hali ikaendelea mpaka katikati ya mwaka 2018, kama hatua hazitachukuliwa kusaidia wakulima wadogo hasa kwa kuwapatia pembejeo mapema na wapande mapema mvua za Oktoba 2016.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…