Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

sasa Kama ni mahubiri ya wasabato kwani wapotoshe?! "kanisa katoliki linamtambua papa kwamba ni Mungu"... huyu ni mwakilishi wa Mungu na papa wa kwanza ni Petro Mwenyewe!Je na wakatoliki wakiomba kipindi kuchambua ya wasabato in such a way what could happen?
Tuliachiwa Roho mtakatifu, hii ni baada ya Yesu kwenda mbinguni na si binadamu. Eti!! Mwakilishi.
 
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?

Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!
mkuu ungeondoa ukaangalia tv tumaini,kuwaalika wengine ni kuzidi kusambaza maumivu na chuki tu
 
sasa Kama ni mahubiri ya wasabato kwani wapotoshe?! "kanisa katoliki linamtambua papa kwamba ni Mungu"... huyu ni mwakilishi wa Mungu na papa wa kwanza ni Petro Mwenyewe!Je na wakatoliki wakiomba kipindi kuchambua ya wasabato in such a way what could happen?
Wapi walisema Papa ni Mungu? Msipende kupotosha, kama hujui uliza.
 
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?

Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!
Tuliza ball, Wakatoliki na wakristo wa kweli huwa hatureact kwa kufanyia vurugu wengine na hatuna mafundisho ya kuchukia na kutesa tunaotofautiana imani nao kama hao wengine so hakuna amani itakayopotea hata angetukanwa Yesu. Ikibidi kanisa hutoa maelekezo ya kiungwana tu. Vita vyetu sio vya damu na nyama.
 
well said ila hili lisiooangaliwa kwa umakini Kila dhehebu likaamua kujibu mashambukizi kwa mass media hatutaishia pazuri! So vizuri kupotosha mafundisho na Kama hurlewi vizuri seek information zaidi! Mungu ni mmoja na dini ilivyo ya ukweli ni upendo ila hiyo isiwe kigezo cha kukashifu dini na imani za watu wengine tena through the public mass media!
 
Hawa waliokuwa kwenye daraja wakisubiri kupaishwa mbinguni ni watu Wa kuwapuuza tu KWA akili zao zinaongozwa NA CHUKI YA KIPUMBAVU KWA WAKATOLIKI SHENZI ZAO,Badala ya kuhubiri imani yao waeleweke wanapotosha imani za wengine STUPID GUYS, KAMA WAKO SAWA WANGEPALIZWA PALE DARAJANI NA AIRPORT WALIPOKUWA WANATAKA KWENDA MBINGUNI,STUPID BRAIN WASH.
 
Afu mm naona star tv cku hz imekua channel ya din siielew kabisa..maana mchana wanashnda wanaweka vpnd vya din tuuy
 
Back
Top Bottom